Recent content by massaiboi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Ajira ya Zimamoto itamlipa Majaliwa kuliko Uvuvi wake?

    Ningekuwa mm ningechukua zile 5m naenda ongeza mtaji, Zimamoto maskini tupu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nimeachana na mke wangu

    Linda kwanza moyo wako, nakubaliana na maamuzi yako 100%
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wanasubiria ndugu zao wamalize college
  4. M

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Marekani laandika kwamba USA walidanganya kuhusu Mmarekani aliyemuua Mtanzania na kumtorosha asichukuliwe hatua na Polisi

    Hapo watafute lawyer wa kimarekani, mamillion $$$$ nje nje, tena malawyer wa huku ni wa bure unawalipa baada ya kushinda kesi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Who is Rating Hotels?

    Sehemu kubwa ya STANDARDS zinatokea USA, wamejiona kama wao ndio kila kitu, wakiamua wameamua hautaki wanakupiga pini
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inanunua magari ya Tsh 300M hadi 500M?

    Kwa sababu hawana vipaumbele
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nawadharau sana Waingereza kwa kuendeleza utawala wa Kifalme

    Pumbav, pilipili husiyoila inakuwashia nn????
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uingereza kuwa na Mawaziri watatu wenye asili ya Afrika ambao wataongoza Wizara nyeti za nchi hiyo, Fedha, Mambo ya Nje na Mambo ya Ndani

    Watanzania waliokuwa wakienda nje kusoma hawabaki huko, wanadunduliza wananunua vifiat/renault au akijitahidi Peugeot halafu wanarudi nyumbani kutanua. Wenzao walikuwa wanaamia kabisa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hassan Mwakinyo apoteza kwa T.K.O dhidi ya Liam Smith | M&S Bank Arena | Liverpool

    Mmeanza kutafuta visingizio
  10. M

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Tozo zimejenga vituo vya afya 234

    Wakiachana ma mavx wangejenga 3000
  11. M

    JamiiForums Tanzania Billnass adai kushuhudia mkewe akijifungua, asema ni nusu ya kifo

    Ndio maana zamani wanaume hawakuruhusiwa kuingia theater
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe Qatar, Emirates, British airways ni vishirika vidogo vya ndege Duniani.

    Ungejua USA ilivyo kubwa husingeshangaa, USA ni sawa na nchi 50 zilizoendelea na kila moja ina airports zaidi ya moja, hivyo hata kwa safari za ndani tuu hakuna nchi inaweza kuishinda USA
Back
Top Bottom