Recent content by Masquarrader

  1. M

    Vionjo vya Kidini kwenye Video za Wasanii: Kwanini Wasanii wa Kiislam wanaweka kejeli za dini ya Kikristo?

    Broo me muislam but siku nimeona hiyo video nilishangaa Sana hayo maudhui. Inamaana anaonesha mtu akiwa church hazingatii Ibada anawaza simu au ni nn! Sometime wanaoruhusu nyumba za Ibada kutumika kwenye Muzik wawe wanafanya ufatiliaji wa maudhui wajiridhishe kama Ina positivity kwenye...
  2. M

    Waziri wa Maji amewapora wanamkwiti huduma ya maji

    Mwaka jana mwezi Novemba ulienda kiwanda cha mabomba pale Ubungo na kukagua mabomba ya mradi wa maji kutoka Mitema kwenda Mangombya hadi Mkwiti wilaya ya Tandahimba mkoani mtwara. Ukaagiza mkandarasi afuate mabomba hayo Ili wananchi wa Mkwiti wapate maji. Ajabu ni kwamba baada ya ziara yako...
  3. M

    RC Mtwara fuatilia kero ya michango ya ujenzi wa madarasa Mnyambe

    Tena kaka kama jana viongoz wa kata kuanzia Diwan, mtendaji, bwana SHAMBA, afisa mifugo walikuwa wanapiga watu bakora kabisa kisa michango kama vile Kodi ya kichwa ya mkoloni
  4. M

    RC Mtwara fuatilia kero ya michango ya ujenzi wa madarasa Mnyambe

    Wananchi wa kata ya MNYAMBE tarafa ya CHILANGALA wilaya ya Newala wanalalamikia ukisanyaji michango kwa kutumia nguvu kunakofanywa na watendaji na Diwan ambapo Ili kuchangia ujenz wa Madarasa ya sekondari kwa fedha za imf (UVIKO 19). Kila kaya inalazimishwa kutoa mvhango wa shilingi elfu kumi...
  5. M

    RPC Iringa saidia kusimamia kesi ya kunajisi watoto Ruaha Mbuyuni

    Siku ya tarehe 6 oktoba mwaka huu amekamatwa kijana CHARLES RICHARD KASUKE fundi kinyoz wa saloon ya dofco iliyopo magengeni Ruaha Mbuyuni kwa kosa la kuwanajisi watoto wawili ANETH GEORGE MNYAONGA miaka Saba mwanafunz darasa la pili s/m mbuyuni na DORCUS MNOTA miaka 6 mwanafunz wa darsa la 1...
  6. M

    Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika: Wapi alipo Rais wetu?

    Nyie CHADEMA ndio mtuambie kwa ushahid aliko Rais wetu, mmeanzisha propaganda kupitia kwa Lissu akawaambia ntv Kenya na BBC kuwa Rais yupo Kenya. Tupeni ushahidI. BBC wameeleza wamepata taarifa kwa mbelgiji lakin wameshindwa kuthibitisha ukweli. Wamejivua kiaina c mmewalipa lazima wale pesa
  7. M

    Rais Magufuli mulika Hospitali ya Mkoa wa Lindi ina madudu ya kutisha

    Rais Magufuli Mimi kama Mtanzania nachukua jukumu hili kukufahamisha kuwa hospitali ya mkoa wa Lindi Sokoine Ina watendaji/ viongoz wabovu kuwahi kutokea katika historia ya sekta ya afya mkoani Lindi. Kwanza Kuna malalamiko kutoka karibu katika kila kada ya wahudumu wa hospitalini hapo ambapo...
  8. M

    CHADEMA Makambako waanza ujenzi wa ofisi ya Jimbo

    Vizuri wajenge waepuke kudharauliwa kufikiwa na ofisi yao
  9. M

    Zanzibar 2020 Zanzibar: Waliouawa wafikia 10 - (October 27, 2020 Update)

    Mbona haijatumia hiyo imeuaje sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  10. M

    Maneno haya ya Kiarabu yana maana gani katika nembo ya Zanzibar University ilhali lugha rasmi za taifa (Bara na Visiwani) ni Kiingereza na Kiswahili?

    Sawa na vyuo au shule binafsi vilivyoandika ora et labora na kanembo ka cross kwakuwa ni mali yao sio ya Serikali. Au ishu ni kiarabu? Kilatini ruksa et? Mwalimu nyerere wanao huku wanaulizana udini na ukabila hawajui kazi zake kuu ni kutambika tu
  11. M

    Uchaguzi 2020 Hatimaye CCM yajifuta rasmi Mtwara na Lindi

    Mnajidanganya Sana, Kwan wabeba mizigo wanafika 500 hapo bandarini? Fuckin shit mtashinda mitandaoni tu kusini kijan
  12. M

    Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

    Hali ya maambukizi ya covid-19 ikiendelea kuwa tishio nchini bado viongoz was baadhi ya makanisa wilayan Kilolo wanaendelea na utaratibu wa kawaida huku tahadhari pekee inayochukuliwa ni kunawa maji pekee. Makanisa ya Roma kuanza sa12 asubuhi hadi sa4 wanakuwa wamemaliza ibada 2 Moja ikianzia...
Back
Top Bottom