Recent content by masonic

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naibu spika Ndugai: Nitaacha ubunge mwaka 2020

    Siyo kupita tu, je kudedi b4 that time?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Samwel Sitta: Bunge Maalum lina Mamlaka Makubwa kuliko iliyokuwa Tume ya Jaji Warioba

    6 ni sufuri-a(0) Hii nchi siyo ya mama yake, akatafute nchi yake ya kueleza huu upuuzi wake.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete apongezwa kukutana na UKAWA

    Unajielewa kweli wewe au ndiyo comment kwa buku 7?? Mungu atunusuru na huu upuuzi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maadili: ITV Habari na kuanika Titi la Mwanamke wazi

    Tuache ushabiki alionyeshwa mmama akiwa amebeba Mtoto ananyonya, hawakuzoom titi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Udini ni cancer ya damu kwa watanzania

    Tunaonewa, tunanyanyaswa, w...... tuamke. Pumbafu zenu, someni acheni ujanjaujanja wa kitoto. Rais dhaifu analea ujingaujinga huu hafai
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

    Awamu ya Kikwete viongozi wote kuanzia Rais wameamua kutumia kalumanzila ya design hii ya viungo vya Albino. Albino kwa sasa kimbieni nchi tu tena muende mbali kabisa mkaombe hifadhi kwa sababu hii serikali itawamaliza kweli. Nawaaasa kimbieni mbali na hii nchi mkajisalimishe kwenye balozi za...
  7. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waanzisha operation inaitwayo futa, delete kabisa CCM

    Amsha amsha popote pale ni muhimu sana kuliko kitu chochote. Watu wapya wanajitokeza kila wakati kwa hiyo lazima wapewe elimu/ ufahamu ili waweze kuwa up to date muda wote
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maadili: ITV Habari na kuanika Titi la Mwanamke wazi

    Zanzibar Spices lile titi la mama yule limekuvutia nini sasa pale wakati yule mama alikuwa ananyonyesha?? Au bado uko ile foolish age ukiona hata titi la mbibi mpini unaenda hewani?? Hayo matiti ya kina mama ni vitu vya kawaida sana nadhani ukikua utaelewa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba akamata Ajira hewa elfu 14, Zaidi ya Bilion 10 zaokolewa

    Duuu!! Watu wameishiwa hekima maarifa na sasa taifa Limeangamia
  10. M

    JamiiForums Tanzania John Mnyika kupitishwa kwa hila Ubungo

    Plato VP, ile ya Ben umekamilisha kuthibitisha au umeiachia juujuu ukarukia mpasho mwingine?? Mimi naona ktk hili ungewahi kwenye mahakama yenu, itakusaidia zaidi ya hapa jf.
  11. M

    JamiiForums Tanzania CCM, DC, RC wafanya unyama na kusababisha maafa Arusha

    Wewe mpuuzi kwelikweli, unaona kuwaisha habari hapa ndiyo issue?? Au ule ujinga wako wa uwongo ulileta hapa ndiyo umeona ni kitu cha maana??
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Arusha wavunjiwa vibanda

    Hivi zinaendeshwaje Mzee Serikali?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Daftari la kudumu linakuja, tujiandae

    mama D beba wamama wenzako wote na mpaka yule babu yake na babu yako wakajiandikishe
  14. M

    JamiiForums Tanzania Majambazi yatishia Amani Arusha

    Acha ujinga wewe, hapo Milestone ni nyumbani kwako?? Au huna pa kulala.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Bunge Maalumu la Katiba laendelea kukusanya maoni!

    Kumbe watakuwa wana Tume ya 6 ya kupokea maoni huko ndani ya BMK. Hawa watu ni wa kuuwa TU nothing else.
Back
Top Bottom