Wafanyabiashara Arusha wavunjiwa vibanda

Wafanyabiashara Arusha wavunjiwa vibanda

Ndugu Wanajukwaa baada ya kuhitimisha sabato yangu Leo naomba kuzungumzia kinachoendelea Arusha kwasasa

Madiwani Wa chadema Arusha ndiyo wengi na vikao vya halmashauri ndiyo vinapanga mambo ya jiji madiwani walikaa na kupiga marufuku machinga mjini Kama ilivyoada Baraza likishaa tunga sheria na kuazimia Kazi ya watendaji na serikali ni kutekeleza

Madiwani Wa Chadema walipanga kuwaondoa machinga na wamama wanaouza vitu barabarani serikali sikivu ya ccm ilipoanza kutekeleza madiwani hao na Mbunge wao asiye elewa nini maana ya vikao vya halmashauri na sheria zake wanaanza kulalamika juu ya watu kuonewa wakati wao ndiyo wamepanga maonezi hayo

Leo kilichotokea bara bara ya uzunguni kinahuzunisha Sana maana Mbunge aliwadanganya wauza matunda wakaidi amri halali ya serikali kilichowapata matunda yametumpwa na meza zao kukamatwa

Poleni Sana wauza matunda Wa impalla Lema. Ndiye adui wakipato chetu machinga na wamama Wa sokoni

Yaelekea wewe ni sabato marejea wanaotaka kupanda ndege bila kulipa. Waadventista wa Sabato hawako hivi wala mambo yao hayako hivi. Sabato na ukada wa vyama vyenu ni mbalimbali.
 
Kwa muda mrefu tumeilalamikia katiba yetu kwamba inabana demokrasia. Hata hivyo ni mara chache mno tumeweza kutaja vipengele ambavyo ni tatizo. Leo nimeamua kwa kuanzia kutajia ibara angalu mbili ambazo mimi ninaona ni sumu kwa demokrasia ya vyama vingi na vinafaa kubadilishwa.

1)Ibara ya 1 iayozungumzia misingi ya katiba. Nafikiri hakuna haja ya kutaja ujamaa kama sehemu ya misingi. mambo ya itikadi wangeachiwa vyama vya siasa kama nyenzo yao ya kuomba ridhaa. Mambo ya itikadi hayawezi kuwa mambo ya kitaifa na hivyo hakuna haja kuyatamka kwenye katiba.

2) Katika ibara ya 39 (1) kinachozungumzia sifa za kuchaguliwa kuwa Rais, nafikiri kuna haja ya kupunguza umri wa kukubalika kuwa Rais kutoka miaka 40 ya sasa hadi angalau 35. Inawezekana mwaka 1977 ilieleweka kuweka huo umri, lakini sasa umefika wakati tukakibadilisha hiki kipengele

3) Ibara ya 40(6) pamoja na mambo mengine inakataza mtu yeyote kwenda mahakamani kuhoji matokeo ya kura za urais mara Tume ya Uchaguzi ikishakutangaza matokeo husika. Hiki nafikiri ni kipengele kibovu na hatari mno kwa demokrasia na kinatoa mwanya watu kuiba kura za urais bila woga wala kificho. Ibara hii inahitaji mabadiliko ya haraka. Actually ni sisi peke yetu katika Jumuiya ya Madola wenye kipengele hiki.

Kwa leo naishia hapa. Nakaribisha maoni zadi.

Hivi zinaendeshwaje Mzee Serikali?
 
Inatakiwa Jiji wapeleke Matingatinga yabomoe Ofisi zote za Matawi yote ya CCM maana sehemu zote za mijini wamevamia yaliyokuwa maeneo ya wazi na kujenga vitega uchumi; anzia Soweto, Faya nk, hata Dar ni hivyo hivyo, CCM wamejenga Ofisi za Matawi maeneo yasiyoruhusiwa na bila kufuata taratibu.
 
Kwani lini CHADEMA iliwahi kupendwa na wananchi?

Huwezi fananisha chadema na magamba. ..kazi yenu kusomba watu na malori maana hanpendwi..chadema watu wanakuja wenyewe.
 
Huwezi fananisha chadema na magamba. ..kazi yenu kusomba watu na malori maana hanpendwi..chadema watu wanakuja wenyewe.

Kigezo kikuu cha chama kupendwa kinajionyesha kwenye matokeo ya uchaguzi, sio kwenye mikutano ya hadhara!
 
Kwani yanafanywa hayo yote mbunge wa arusha mjini anafanya nini kuwatetea watu wake ukiona yupo kimywa anashirikiana na hao wanamgambo.
Wazee wa milungula (ccm),mwenye shibe hamjui mwenye njaa,waambie wakanunue tisheti, kofia,na bendera za kijani,huenda mgambo watawasikia na kuwaheshimu maana ninyi ni chama dume,hata wauza bangi na madawa ya kulevya wakivaa tu kijani hawakaguliwi,si unakumbuka sumaye alishasema ukitaka maisha yakunyookee hamia ccm,je wauza matunda mmewasahau kuwa na wao wanaweza kunyookewa?
 
Amini hapo ulipo, ninauelewa wa mambo zaidi yako, an not a layman, Nimechukua miaka 28 nikiwa darasa ndani na nje ya nchi, sijisifii, unahitaji kuheshimu watu wote unaowafaham na usiowafaham pia

Ungekuwa unajua shughuli za serikali zinaendeshwaje usingekuwa unapelekwa pelekwa kama mdoli na hawa walaghai!
 
Back
Top Bottom