babatovu
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 2,739
- 1,602
Wana jf,
Bmk limeendelea kupokea maoni ya wananchi wakati tume ya kupokea maoni chini ya jaji Warioba ilishavunjwa. Sheria ya mabadiliko ya katiba ipo kimya juu ya hili la kuendelea kupokea maoni ya wananchi. Ila hawa ndugu zetu waliopo mjengoni, wanasema kanuni zinaruhusu, hebu wale wenye uwelewa mpana juu ya hili watujuze.