- Thread starter
- #21
Mchakato unaanza lini ?
mwezi wa tisa kamanda lakini usiende mwenyewe nenda namajirani na familia yako nk.
Mchakato unaanza lini ?
mama D beba wamama wenzako wote na mpaka yule babu yake na babu yako wakajiandikisheGud, hata mm japo si kijana ila nitaenda. Am waiting it sana!!!