Nina miaka 28 sasa, nimesoma mpaka chuo kikuu na shahada ya Business Administration nimeshuhudia jinsi marafiki zangu walivyowakimbilia kina dada wa chuo eti uchumba wakati tunasoma na wengi wao waliishia kubwaga, hali hi ilinikatisha tamaa kabisa na niliapa sitokaa nioe mwanamke alosoma.
sasa...
Kigwangala, najua anaongea sana hi yote ni kutafuta umaarufu, ccm si ya ivo utongea sana na hutapata kitu wapo wengi wamekuwemo ccm kabla ya uhuru lakini wameishia kusulubiwa muulize jirani yako mzee wa kasi na viwango atakupa jibu, sikumbuki vzur wana JF wanikumbushe huyu Dr. NEC ya ccm...
[QUOTE=sammosses;5624019]Kitendo cha naibu spika wa bunge Mh. Job Ndugai kuzungumza TBC1 asubuhi wakati akihojiwa kuhusiana na utata uliotokea bungeni kimezidi kuonyesha ni jinsi gani anatumia chombo hicho cha habari kujisafisha ilihali sakata hilo la wabunge bado lipo kwenye kamati ya uongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.