Nyie wote mlikuwa bado. Kabla ya UDA, ilikuwepo DMT. Konda alipita kati akikatisha tiketi kwa mashine ya kuzungusha.
DMT ilivunjwa na kutengwa kampuni mbili za KAMATA (Kampuni ya Mabasi ya Taifa) na UDA (Usafiri Dar es Salaam).
Sasa endeleeni kuanzia hapo!?
Lakini pia Tigo wabainishe ni wamiliki wa simu zenye uwezo upi wanaotakiwa kujiunga na 4G, vinginevyo ni usumbufu kwa wateja wao. Tangazo linawataka wateja wa mtandao huo kwenda ofisi yo yote ya tigo ili kubadili chip ya 4G bure wakati siyo wote walio na simu zenye uwezo huo.
Kwa Maswi nadhani kuna jambo ameligundua, ama kutokana na yale mengi mabaya yaliyoandikwa na wadau kuhusu maovu yake, ama ameshindwa kuendana na kasi ya JPM. Tusubiri linakuja!
Watu hawakumwelewa Pombe alipokuwa akionya kuwa "wataisoma namba" na wakadhani kuwa wanaoambiwa ni wapinzani, kumbe sivyo! Aliwaambia mafisadi wote, na bahati mbaya wanaoibuliwa mpaka sasa wote ni ccm!
Nawaomba wana JF mnisaidie kufahamu ni wapi hapa Dar naweza kupata wataalamu waandaaji wa "Tender Documents" kwa ajili ya kushindania zabuni.
Nahitaji kufahamu pamoja na gharama. Endapo wao watapenda wenyewe kuwasiliana nami, tuwasiliane kwa 0784411525
Nilikwisha andika huko nyuma, kila balaa kubwa la ujangili na ufisadi nchini sasa hivi ni WACHINA!?
Tanzania imewapendea nini?
Kwa nini wasiondolewe?!
Wachina waliojenga TAZARA waliamika kidogo, tulio nao leo ni wezi2.
Lakini CCM kumbukeni kuwa hata Mh. Kikwete alianguka zaidi ya mara mbili jukwaani mwaka 2005 na jamii ikaaminishwa kuwa ni mgonjwa. Hivyo kumcheka Mh. Lowasa ni kielelezo cha kujisahau. Acheni!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.