Tulikotoka nakumbuka au ulikuwepo?

MT255

JF-Expert Member
May 3, 2012
3,606
4,912
837b4cce1820ef4be5b23503dc7e042b.jpg


Enzi hizo maisha yalikuwa matamu, Dar es salaam ilikuwa inanukia Ukiona maghorofa msajili wa majumba tu, dah nakumbuka zamani.
 
837b4cce1820ef4be5b23503dc7e042b.jpg
Enzi hizo maisha yalikuwa matamu....Dar es salaam ilikuwa inanukia...ukiona maghorofa msajili wa majumba tu...dah nakumbuku zamani
mimi nilikuta uda ina ticket za mashine,ukipanda mlango wa nyuma kuna kisehemu maalum cha kondakta,nilikuwa nanyoosha mkono maanake hata konda simuoni kwa ufupi!
 
Nyie wote mlikuwa bado. Kabla ya UDA, ilikuwepo DMT. Konda alipita kati akikatisha tiketi kwa mashine ya kuzungusha.
DMT ilivunjwa na kutengwa kampuni mbili za KAMATA (Kampuni ya Mabasi ya Taifa) na UDA (Usafiri Dar es Salaam).
Sasa endeleeni kuanzia hapo!?
 
Khaaaaa watu wa zamani mnapenda sifa?
Na sie utafika wakati wetu wa kujidai.....
 
Back
Top Bottom