Ziroseventytwo JF-Expert Member Mar 27, 2011 8,414 14,978 Mar 17, 2016 #1 Kama kuna mwandisi wa tanesco anaruhusu hii arudi tena darasani...
kituli one JF-Expert Member Feb 25, 2014 408 301 Mar 17, 2016 #2 Hahaaaaaa hapo wana minimize cost then wana maximize output
M masolwa masalu Member Feb 20, 2015 27 10 Mar 17, 2016 #4 Hata mleta mada naye arudi darasani. Kaandika Mwandisi badala ya Mhandisi. "Mwosha huoshwa"
Red Scorpion JF-Expert Member Feb 1, 2012 5,736 4,252 Mar 18, 2016 #5 Hapo wangewazambazia kwa bluetooth ingekuwa much better!