Recent content by Masokwe

  1. Masokwe

    JamiiForums Tanzania Zamani viwanja vilikuwa unaamka asubuhi unaenda kuwahi, ila unakuta mzazi hana ardhi anayomiliki hadi sasa

    Na huu ndio ukweli mchungu, wanakuja KUTOA povu
  2. Masokwe

    JamiiForums Tanzania Nauza vitu mbalimbali

    Weka what'sapp number
  3. Masokwe

    JamiiForums Tanzania Tunauza na kufunga pump za maji kwa ajili ya mifumo inayotumia nishati ya jua na umeme

    Hello mkuu, naomba kujua je mnaweza kufunga kwenye visima hivi vya kuchimba na mkono, vile vipana, cha shambani kwangu kina mita 30,
  4. Masokwe

    JamiiForums Tanzania Kazi ya binadamu duniani imeshaisha takriban miaka 445,000 iliyopita

    Dhihaka ni mingi, hatujiulizi why kuna dini zaidi ya milioni?? Ukiwa timamu lazima ufikirie je mwandishi aliwaza nini mipaka kuandika maandiko haya. Ila hizi ni kwa walio sawa upstairs
  5. Masokwe

    JamiiForums Tanzania Ewe mkulima. Hebu soma hii nyaraka, hutajilaumu

    Wilaya yangu naweza Lima mogokaa
  6. Masokwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninahitaji mke atakayekuwa tayari kuishi nami

    Sawa sawa
  7. Masokwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninahitaji mke atakayekuwa tayari kuishi nami

    Wapare wenzangu nisaidieni kutafsiri kipare cha Ugweno asee, Kama hujui jambo fanya ueleweshwe Fithoma vya kighonu 1. Ukaya vuki na irawa kwatamwa. 2. Nkwavwagha kitoro uemanya tha fundu kwagheghava maito 3. Irufi ya mwana wa mkiva lichinyuka. 4. Mumu umwi ukairimetho imanya njafi ivirire 5...
  8. Masokwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninahitaji mke atakayekuwa tayari kuishi nami

    Sikujua kuwa rangi inahusisha urembo Niliweka kuzuia maswali mengi.
  9. Masokwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninahitaji mke atakayekuwa tayari kuishi nami

    Tafuta mpare aje afanye tafsiri ya hiki kigweno. Kuna watu mnajikuta mnajua kila kitu. Fithoma vya kighonu 1. Ukaya vuki na irawa kwatamwa. 2. Nkwavwagha kitoro uemanya tha fundu kwagheghava maito 3. Irufi ya mwana wa mkiva lichinyuka. 4. Mumu umwi ukairimetho imanya njafi ivirire 5. Ukaora...
  10. Masokwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninahitaji mke atakayekuwa tayari kuishi nami

    Nadhani wewe ndio hujiamini, kafukue tena vitabu, kuna kabla ya mgweno na mpare vitu tofauti kabisa.
  11. Masokwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninahitaji mke atakayekuwa tayari kuishi nami

    Habari zenu Jukwaa Hili Ombi langu ni ninahitaji mke atakayekuwa tayari kuishi nami. Sifa zangu. Umri :35yrs Elimu: Shahada Kazi : Biashara, Mkulima na mfugaji Rangi: (wanaita maji ya kunde 🥸) Dini: Moslem Kabila : Mgweno Kimo: mrefu wa kutosha sanaaa [emoji851] Sifa za mke 1. Umri: 25...
  12. Masokwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna mwanamke anaye penda na kuvumilia mwanaume masikini, mwanaume masikini ni mzigo mzito kwa mwanamke

    Sahihi kabisaaa, ukiwa huna maokoto, basi uwe na mbuzi au kondoo wa kukamua maziwa, Otherwise utaona ndoa chungu sana, utaona unyanyaswa haswaa
  13. Masokwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama unataka kuoa au kuolewa haraka soma ujumbe huu

    Wacha nije inbox, yule sujui malaika namtaka haraka sana. Pia kuna lishangazi nalitaka haswaa
  14. Masokwe

    JamiiForums Tanzania Zifahamu Mashine mbalimbali ambazo zinaweza kukusaidia kukuza miradi midogo hapa Tanzania

    Also je pump za kuvuta maji za Petrol kuaanzia bei gani!? Na diesel pia!? Na duka lako lipo wapi!?
  15. Masokwe

    JamiiForums Tanzania Zifahamu Mashine mbalimbali ambazo zinaweza kukusaidia kukuza miradi midogo hapa Tanzania

    Nahitaji solar Yenye uwezo wa kuvuta maji kwenye kisima chenye urefu wa mita 90
Back
Top Bottom