Recent content by maslahi4

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je Dr. Shika atakua ameingizwa mkenge staili ya wa Nigeria?

    Kwa TZS 3 billion ni pesa nyingi kwa Dr. Shika?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Sitaongeza mishahara kwa Watumishi wa Umma mpaka uzalishaji uongezeke

    Uzalishaji uleule halafu unataka mshahara mkubwa? Ni sawa na kuingiza 10 ukatumia 11. Elewen matumizi ya 11 lazima yaambatane na uzalishaji unaozidi 11. Good Mr. President.
  3. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, mnapotaka kumuondoa Lowassa na wafuasi wake andaeni Bilioni 10 la sivyo endeleeni kuota

    Chama kilifanya biashara. Chama kilitake risk. Cha moto wanakiona. Jaza ujazwe [emoji851]
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dodoma: RC Makonda aongea na Wanahabari akiwaarifu ziara ya Waziri Mkuu wa Ethiopia Dar Es Salaam

    Ndiyo maana huwa tunasema (Maneno ya Wahenga) Mdharau mwiba mguu huota tende. Nape alionesha kudharau vita ya madawa ya kulevya toka day 1 lakini kilichomtokea anajuta mwenyewe. Kwa mtu anayejielewa huo ndio ulikuwa wakati wa kushikamana na wenzako. Hata polisi wanapopambana na wavinja sheria...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli umeua biashara nchini makusudi na haupendwi kama unavyodhani

    Biashara za kitapeli acha zife tena ziende kuzimu. Kama ulijikita huko utapata aibu mjini. Fanya kazi halali. Lipa kodi kwa serikali ili uwe salama.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dodoma: RC Makonda aongea na Wanahabari akiwaarifu ziara ya Waziri Mkuu wa Ethiopia Dar Es Salaam

    Kwahiyo ulitakaje. Kwani Mbowe ni Rais wa Tanzania?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dodoma: RC Makonda aongea na Wanahabari akiwaarifu ziara ya Waziri Mkuu wa Ethiopia Dar Es Salaam

    Mpka madawa ya kulevya yaishe ndio mtaacha kumsema RC Makonda. Kwasasa mnaendeshwa n wauza unga ama kwa kujielewa au kutojielewa. Kwa ufupi RC Makonda ndiye Jemedari wa wauza unga Tanzania. Hata Mbowe bado tunamchunguza kwa ukaribu zaidi maana kama anakwepa kodi ni wazi hata biashara ya unga...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi linamshikilia 'James Delicious' kwa amri ya Naibu Waziri Kigwangalla

    Kwa uelewa wako shoga ni mnyonge?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwenye sakata la mchanga wa dhahabu, nafahamu ukweli wa ndani

    Wewe ni kati ya Watanzania wajinga tena hujielewi unachofanya. Kwa upande wangu hata kama hayo unayosema yote ni kweli (ambao ni uongo), huwezi kuwa sehemu ya Mwekezaji mgeni pindi linapokuja suala la maslahi ya nchi yako. Ulisomeshwa usaidie nchi kupata maslahi yake na siyo kusaidia nchi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mtego wa Rais kwa CAG

    Rais anapanga mambo yake kwa kuondoa kabisa hali ya wahuni kuhonga wasaidizi wa Rais. Ni kwa njia hiyo tu ndipo tutaweza kupata matokeo chanyA+ kwasasa. Watanzania hawaaminiki tena. Hata mimi sitaki kuaminiwa muda huu. Ni mguu kwa mguu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mtego wa Rais kwa CAG

    Wanaolalamikia JPM ni wale wahuni. Tena sitaki hata kuwasikia. Walizoea kufanya Tanzania shamba la bibi. No more!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mtego wa Rais kwa CAG

    Rais makini wakati wote huweka msisitizo kuonesha kazi hiyo ni muhimu. Hapa sio issue ya kuaminiana bali ni kulinda maslahi ya Taifa. Na kama CAG yupo tentative lazima atakwenda kufanya kazi bora zaidi. Mazoea ya kuaminiana ndiyo yamefanya nchi imekuwa na ulaji na walaji kila kona. Ni mjinga...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nani amemdanganya Mkuu wa Kaya?

    Kwahiyo wewe ulitaka tununue Boeing 777 kwa safari ya Songea? [emoji23][emoji23] Unachekesha sana. Hao abiria 450 wa kwenda Songea wapo wapi? Halafu huo uwanja wa Songea unaweza kupokea Boeing 777? Umeandika ngonjera nyingi kweli lakini hayo maswali mawili hujayajibu! Labda uandike tena..
  14. M

    JamiiForums Tanzania Punyeto zinawaharibu vijana sana, wamekuwa wadhaifu sana kitandani

    Mimi nadhani wanafanya hivyo kuepuka ngoma. Dunia ya leo siwashauri vijana kung'ang'ana kuridhisha wadada. Okoa maisha yako.
Back
Top Bottom