CHADEMA, mnapotaka kumuondoa Lowassa na wafuasi wake andaeni Bilioni 10 la sivyo endeleeni kuota

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Kumekuwa na mada zinaanzishwa na baadhi ya wana-Chadema kindakindaki kuwa Lowassa na wafuasi wake waondoke ili waweze kufanya siasa kama zamani. Wengine wameenda mbali wakitaka katibu mkuu Dr.Mashinji ambaye kimsingi ni mteule wa EL aondoke eti sababu 'kapooza'.

Kwa kifupi tu ninnawashauri kama mnaweza kuchanga bilioni 10 mkarudisha sawa ila kama ni porojo tupu endeleeni kuota ndoto za mchana. Sasa ni wakati wa kundi hilo kula matunda ya walichokiwekeza. Hapo ndipo msingi wa hoja 'jazwa ujazwe' unapokamilika.

Mimi nimewafungua tu macho ila wenye maamuzi ni nyie. Tujikumbushe kwa picha hapo chini ya UKAWA halisi.

19989449_152870908605189_3940014328224949526_n.jpg

Nawasilisha.
 
Mimi nimewafungua tu macho ila wenye maamuzi ni nyie.

Nawasilisha.
Ccm mnajitekenya na kucheka wenyewe!
 
Bilioni 10 ya kazi gani, unataka wamhonge lowasa?!
 
HIVI CHADEMA hawajui kuwa NYEUPE Ndiyo Majority shareholder ..wanatakiwa wampe zaidi Bilioni 10....kwani alitoa cash and assets
 
Kumekuwa na mada zinaanzishwa na baadhi ya wana-Chadema kindakindaki kuwa Lowassa na wafuasi wake waondoke ili waweze kufanya siasa kama zamani. Wengine wameenda mbali wakitaka katibu mkuu Dr.Mashinji ambaye kimsingi ni mteule wa EL aondoke eti sababu 'kapooza'.

Kwa kifupi tu ninnawashauri kama mnaweza kuchanga bilioni 10 mkarudisha sawa ila kama ni porojo tupu endeleeni kuota ndoto za mchana. Sasa ni wakati wa kundi hilo kula matunda ya walichokiwekeza. Hapo ndipo msingi wa hoja 'jazwa ujazwe' unapokamilika.

Mimi nimewafungua tu macho ila wenye maamuzi ni nyie. Tujikumbushe kwa picha hapo chini ya UKAWA halisi.

19989449_152870908605189_3940014328224949526_n.jpg

Nawasilisha.
Acha Mangi aitwe Mangi aisee! Hapo kuna watu wawili ukiwaangalia tu usoni utaelewa moja kwa moja kama hawakuwa na hao wenzao kimawazo ya ndani. Mbowe na Mbatia wako kinafiki hapo aisee. Nadhani walishachungulia deal la Bilioni 13 la kuuza chama chetu tayari. Ningeonaga hii picha mapema ningeshatimua kitambo aisee.

Havome
 
Kumekuwa na mada zinaanzishwa na baadhi ya wana-Chadema kindakindaki kuwa Lowassa na wafuasi wake waondoke ili waweze kufanya siasa kama zamani. Wengine wameenda mbali wakitaka katibu mkuu Dr.Mashinji ambaye kimsingi ni mteule wa EL aondoke eti sababu 'kapooza'.

Kwa kifupi tu ninnawashauri kama mnaweza kuchanga bilioni 10 mkarudisha sawa ila kama ni porojo tupu endeleeni kuota ndoto za mchana. Sasa ni wakati wa kundi hilo kula matunda ya walichokiwekeza. Hapo ndipo msingi wa hoja 'jazwa ujazwe' unapokamilika.

Mimi nimewafungua tu macho ila wenye maamuzi ni nyie. Tujikumbushe kwa picha hapo chini ya UKAWA halisi.

19989449_152870908605189_3940014328224949526_n.jpg

Nawasilisha.
Sawa na muda si mrefu ruzuku ya chama itaanza pitia kwakwe ili kuzidi jihalalishia maamuzi yake ndani ya chama
Walisha muuzia

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
 
Ninazo najitambua siyo mjinga kama ww mkuu, muulize Diallo, Manji, Nape n.k wanaisoma vizuri
Kodi lazima walipe,ulitaka waachwe ili muanze kulia lia? akiadhibiwa DJ mnalalama anaonewa, wakiadhibiwa wana-CCM mnasema wanaisoma namba, kweli CCM itatawala hii nchi kwa karne nyingi zijazo. Unajitambua,halafu unauzwa mzima mzima.
 
Lakini kiukweli, ukimlinganisha Katibu Mkuu wa sasa na Katibu Mkuu wa zamani (DR. Slaa) unahisi kabisa tofauti ni kubwa sana aisee.
 
HUU NI UONGO TUPE USHAHIDI, FEKI NEWS AND PROPAGANDA NA HII INATOKANA NA SERIES ZENU KUTOPATA KICK MTAANI KWA KIPINDI HICHI CHOTE CHA MIEZI 3.
 
Back
Top Bottom