Recent content by masikio

  1. masikio

    Ng'ombe bora wa maziwa aina ya Holstein freisian, Jersey na Ayrshire wanapatikana

    Mimi nipo Arusha nawapataje hao ng'ombe, angalau wawili tu?
  2. masikio

    Mwigulu asiangushiwe zigo. Hata mwenye nchi "anawagwaya" hao wapigaji

    Hapa ni mwendo wa kupiga tu. Kwani wewe kwenu hakuna njaa hata kidogo. Wewe piga tu hata ukichukua chote kilichoko ni sawa tu. Kwani uliwahi kusikia mtu hata mmoja amechukuliwa hatua yoyote? Ukiacha utakuwa husiwi wala, na kweli uliwahi kusikia mtu kasifiwa kwa matumizi mazuri ya pesa ya Serikali?
  3. masikio

    JamiiForums Usiku wa manane

    Unataka kulala?
  4. masikio

    JamiiForums Usiku wa manane

    Huyo mtaalam sasa.... Anakaa wapi? Sehemu gani? Anaitwa nani?
  5. masikio

    JamiiForums Usiku wa manane

    Anasema yuko serious
  6. masikio

    JamiiForums Usiku wa manane

    Kwani uliwahi kwenda siku ingine ukapona? Huyo mtaalam unamfahamu?
  7. masikio

    Waziri Nape: Hatujaibania starlink kutoa huduma ya intaneti, Elon Musk bado hajakidhi vigezo tulivyomuwekea

    Ofisi ina faida gani. Mtandao ndio shughuli zao, ukiwataka wanaptikana kila saa. Ofisi moja kwa dunia nzima. Hawa tatizo wanataka mambo ya kuzima data, na pia hawa wengine ie. Vod., airte., na wengine hawataki ushindani hapo.
  8. masikio

    JamiiForums Usiku wa manane

    Kwani muda ni saa ngapi?
  9. masikio

    JamiiForums Usiku wa manane

    Saa ya kujiandaa kwa maombi. Mkumbuke Muumba wako
  10. masikio

    JamiiForums Usiku wa manane

    4:21
  11. masikio

    JamiiForums Usiku wa manane

    02:12
  12. masikio

    JamiiForums Usiku wa manane

    Kwani huna uzingizi?
  13. masikio

    Tunamlinda Mzee. Mali ya Baba yako ni Haki yako ya Msingi

    Pole sana. Mara unakaa kusubiri baba afe halafu unakufa wewe unamwacha baba. Kifo hakitabiriki. Sio lazima mgonjwa afe. Huwa wanakufa wazima kabisa na kuwaacha wagonjwa wa muda mrefu
  14. masikio

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Amejieleza. Soma vizuri thread yake amesema kabisa. Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom