Recent content by Masikini Jeuri

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sugu aunguruma Bungeni, atetea kazi za wasanii

    Hebu tujuze TheRedKop maana hawa ndiyo wawakilishi wetu kama wanafanya uchafu kwenye maclub na dada zetu inabidi tuwaanike hadharani na si kuwaficha. Tuletee picha zake kama unazo kweli
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bila shaka wanawake akili yenu inafanya anticlockwise!

    Bebii hivyo ndiyo inavyotakiwa..bora uliyemzoea kuliko mpya anayeweza leta mizengwe zaidi ya kuwekwa sero.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Bila shaka wanawake akili yenu inafanya anticlockwise!

    Sasa yule Mh mwingine keshamwagwa that soon .. Mambo ya bongo celebrity
  4. M

    JamiiForums Tanzania Huyu mama wa mhe. Bilal ndo sura yake au hasira?

    Ana mashaka na huyo dada mwenye tumbo atamchukulia mume..hachezi mbali na wa2 wakubwa wakimuomba 2 anawapa ili apate cheo..bahati mbaya wakina mama wa CCM hawampendi juu ya tabia yake ya kuchukua waume za wa2..kila akijaribu anapigwa chini cheo hapati. Uliza kilichomtokea na mama Msabaha
  5. M

    JamiiForums Tanzania Namzimia shyrose

    Hajaolewa..
  6. M

    JamiiForums Tanzania Namzimia shyrose

    Mali za wakubwa hizo kijana!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Namzimia shyrose

    Hayaolewa..na ndiyo maana anatangaza biashara yake kwa watu maarufu. Leo yuko na huyu umaarufu ukiisha anatafuta mwingine..miaka yote anahangaika na watu maarufu tu wengi wenye wake zao.
  8. M

    JamiiForums Tanzania WABUNGE Vs WASANII

    Wakiwa bungeni wengi wao hawachangii hoja za msingi na husubiri kikao kiishe, posho imeingia break ya kwanza UDOM kuwadanganya dada zetu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Namzimia shyrose

    Take away ya wakubwa c mnacheck inavyojitahidi kujitangaza na kujisogeza kwa wateja wake? Biashara matangazo Bi Shyrose
  10. M

    JamiiForums Tanzania MAlaria sugu ni nani naomba ufafanuzi???

    Mbunge wa CHAMA cha upinzani
  11. M

    JamiiForums Tanzania Idd Azzan amlipua Shyrose Bhanji kuhusu kujihusisha CHADEMA...!

    Inawezekana hawa wanafahamiana vizuri sana. Nilisoma somewhere kuwa alikuwa na uhusiano naye bibie akachukuliwa mkulu wa CCM
  12. M

    JamiiForums Tanzania Idd Azzan amlipua Shyrose Bhanji kuhusu kujihusisha CHADEMA...!

    Mkuu huyu dada Harakati zake atazihamishia CHADEMA SOON..
  13. M

    JamiiForums Tanzania Idd Azzan amlipua Shyrose Bhanji kuhusu kujihusisha CHADEMA...!

    Yoooote ni MAGAMBA TU
  14. M

    JamiiForums Tanzania Idd Azzan amlipua Shyrose Bhanji kuhusu kujihusisha CHADEMA...!

    Kwa hiyo sapoti yote aliyoitoa ilikuwa SABABU YA JAMAA SIYO..BIBIE YUKO KATIKATI YA CHADEMA NA CCM
  15. M

    JamiiForums Tanzania Idd Azzan amlipua Shyrose Bhanji kuhusu kujihusisha CHADEMA...!

    Kumbe CHADEMA ILIPATA MSAADA WA SHYROSE WAKATI WA UCHAGUZI. Ndiyo maana yuko karibu sana na CHADEMA! " Idd azzan ambae ni mbunge aliesimamishwa miezi 18 kushiriki shughuli za chama baada ya kushindwa kuthibitisha kauli yake nae kaibuka kumlipua shyrose bhanji kuwa katika uchaguzi mkuu...
Back
Top Bottom