Recent content by masijala

  1. masijala

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Akae namba ya nani sasa?! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. masijala

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Morata yuko vizuri sema hajachangamka kabisa!!! Labda hazard atamchangamsha, tatizo la kocha wetu ni mazoea aliyonayo, hayuko flexible kama guardiora Lakini gap bado dogo mno!!
  3. masijala

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Trust me, cahil anawekwa bench leo!!!!! Kama humjui conte ndo leo utamjua!!! Jiulize kwanini JT Aliwekwa bench hata match za kawaida!!
  4. masijala

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mchambuzi aliyesema haina haja ya bakayoko kisa chalobah ni mseng...... Bora loftus cheek na sio chalobah no matter he is still young ni wa kawaida sana pia anajiona star wakati bado sana!!!
  5. masijala

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Ndio maana conte alikuwa anakomalia usajili ufanyike kumbe tuna shughuli!!!!!
  6. masijala

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    That captain is a monster!!!! I wish he could play for 10yrs more from now, he is the only defender now days who sniffs goals and that pace he have you can't underrate for sure!!!
  7. masijala

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Isco kawafanyia kitu kibaya waitaliano, pole yao!!!! Now itakua how to stop isco!!! At the moment he is unstoppable sababu ya wenzake wanaomzunguka
  8. masijala

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kwakweli cahil hakustahili ucaptain
  9. masijala

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    nilisema huwezi kwenda medical check up ukiwa na injury isiyojulikana unapona lini!!!! Waandishi wa habari wa uingereza ni wachochezi sana
  10. masijala

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hahahaha tell them
  11. masijala

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kennedy akazane sasa aache utoto ili aendane na wenzake maana ndo mdogo kuliko wote hapo
  12. masijala

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] inaonekana wengi tumechoshwa na cahil maana sio kwa kuchoma kule!!!!
  13. masijala

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Chamberlain nahisi hataki kukutana na sadio mane 1 vs 1 tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana kukaba winger wenzako ni shughuli sio mchezo!!! Any way ni kawaida ya waingereza kujiona masuperstar sisi tunamuona wa kawaida lakini unakuta yeye anajiona ni next steven gerald na...
  14. masijala

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Llorente, chel.sea haiwezi kutoa cash kwa 30yrs player hata candreva deal lilishindikana kisa umri!!! Angekuwa free hapo fresh Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom