Recent content by Mashy

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuache kuwa Watumwa kwa wanawake

    Huyo rafiki yako bila kumungunya maneno kashapigwa kipapai, na Kuna uwezekano huyo mke wake ni mchawi au anatoka familia ya kichawi. Cha kufanya hapo ni kumsadia bila yeye kujua ili muweze kumuondolea aliyolishwa na kunyweshwa, matokeo yake kainamishwa kichwa. Jamaa ukute hamjari hata baba yake...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Kweli: Sitasahau nilivyopendwa na mchawi nikaishia kurogwa

    Wabheja wa ngw"a mayu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Anaomba ushauri: Akubali kuwa mke wa pili au asubiri atapata mume wake?

    Watakuwa wanaringia uzuri wao...wako tayari kuolewa na machinga wa kilimo? Nipe namba zao
  4. M

    JamiiForums Tanzania Binti aliyeniacha 2020 kisa kupoteza kazi amerudi 2023. Nishaurini hapa!

    Naona unatafuta balaaa...huyo si mama Bora na kamwe hata kuwa...ujinga tulionao ni kupenda asiyekupenda. Huyo anapenda hali ya maisha uliyonayo Sasa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania True Story: Jinsi mama wa msichana alivyovuruga mahusiano yangu

    Hapo nikuambie tu ya kwamba, mziki unakusubilia mbele si muda kitambo utachezeshwa kwata. Fanatic religious Kama alivyo mama mkweo ni wabaya sana tena mara nyingi ni wachawi. Tukio la kupaliwa maziwa na kufa mtoto lichunguze...that was an indication kwa yanayokuja. Kumbuka yajayo hayafurahishi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Kweli: Sitasahau nilivyopendwa na mchawi nikaishia kurogwa

    Kuna nyakati lazima washirikiane...hata wachawi huwategemea waganga kwa mambo Fulani Fulani ili wafanikishe.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa leo kwa kaka zangu

    Umesema Ile kweli yote...wanawake wa aina na tabia ulizoziorodhesha ni wachache sana na nadra mno kuwapata. Asante kwa ushauri murua
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Kweli: Sitasahau nilivyopendwa na mchawi nikaishia kurogwa

    Uchawi hauna mipaka, hivyo si suala la mahali au kabila Fulani. Binafsi nililogwa na mchaga wa Moshi...tusikalili
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Kweli: Sitasahau nilivyopendwa na mchawi nikaishia kurogwa

    Nina kufuatilia kwa umakini na ukaribu sana...wafia dini wnakufa sana hasa pale wanapousahau ushauri wa mhubiri 7:15-18. Mkuu yaliwahi kunipata, Mimi nilioa mchawi enzi hizo nikiwa nimfia dini. Anyway nisikutoe kwenye kisa chako kinachoelimisha labda wengi watatokwa tongotongo kwenye...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kanipa sharti la kugawana mshahara ili anioe

    Hahahaha, pasu kwa pasu wanawake hawaitaki upande wao.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Kweli: Sitasahau nilivyopendwa na mchawi nikaishia kurogwa

    Ndo mwisho wa kisa mkasa chako?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kanipa sharti la kugawana mshahara ili anioe

    Mkubalie tu, wewe na yeye si mtakuwa mwili mmoja! Narrative ya kikiristo ambayo mi binafsi naona ni uongo. Pili, mwanamke au mwanaume anayeingia kwenye ndoa akiwa amengalia maslahi si mwenza sahihi wa kuwa nae. Nasisitiza, mkubalie maana huyo ndo chaguo lako mwenyewe
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais Putin afanya ziara ya kushtukiza Mariupol Ukraine na Crimea

    Mji wa Ukraine upi? Mkuu hiyo ni sehemu ya Russia tangu kitambo, hiyo si Ukraine Bali sehemu ya shirikisho la Urusi
  14. M

    JamiiForums Tanzania Uhaya wetu siyo shida, Chalamila tafuta suluhisho

    Na hii ndo sababu kubwa inayorudisha nyuma Maendeleo ya kagera...ni wabaguzi balaa...ukishakuwa tu we ni mnyamahanga utabaguliwa mpaka ukome
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mbeya awataka Polisi kuwakamata Waganga wapiga ramli chonganishi

    Upumbavu tu ndo umemjaa kichwani...wakati wa kampeni zao za kuiba kura ndo unamkuta kwa waganga anaowaita wapiga ramuri chonganishi. Nchi hii wanasiasa ni taka taka brainwashed to the maximum
Back
Top Bottom