Tatizo la msingi la nchi hii cio history ni mfumo wa elimu mbovu na elimu yetu ya kumezesha kila kitu, cha kubadailisha ni Nini kisomwe hasa elimu ya ujasiriamali na serikali iandae masoko kwa bidhaa zitakazo tengenezwa na cio somo la historia ya tz
Mwandishi hajielewi ruzuku haipatikani kwa idadi ya wabunge ila kura alizozipata mgombea was uraisi was chama na kisheria apate angalau 5% ya kura zote anahusishwa na wabunge Mia kumi na tatu kwa hesabu ya kawaida lissu anao wabunge 15 wa viti maalum.
Haha that's confusion hapo Kuna mambo mawili moja mbatia anawezakuwa anatumika kwa kujua au kwa kutokujua ili kuwakwaza na kuwa confuse chadema na pili Ni kweli anawezakuwa agent was TISS
Maprof wengi wamekimbia taaluma zao kwaajili ya njaaa kwani siasa ndio taasisi inayolipa zaidi kuliko taasisi nyingine yoyote ile ivyo hawajaenda Kama watendaji Ila kutibu njaaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.