Chama cha Upinzani ni kimoja tu na ndicho kinapata misukosuko

Hii katuni imemaliza yote
IMG-20200304-WA0032.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha that's confusion hapo Kuna mambo mawili moja mbatia anawezakuwa anatumika kwa kujua au kwa kutokujua ili kuwakwaza na kuwa confuse chadema na pili Ni kweli anawezakuwa agent was TISS
 
Kisha atatupwa kama le profu hata swaiba wake mutungi kamtosa
 
Haha that's confusion hapo Kuna mambo mawili moja mbatia anawezakuwa anatumika kwa kujua au kwa kutokujua ili kuwakwaza na kuwa confuse chadema na pili Ni kweli anawezakuwa agent was TISS

Na cdm wanapaswa kuwa makini sana na huo mtego kwani wakijichanganya tu na hayo maigizo wanamalizwa. Ule ujinga wa Mbowe kutaka maridhiano yasiyo na kichwa wala miguu aache mara moja. Yeye ajikite kudai tume huru ya uchaguzi. Tunywe tu mtori, nyama tutazikuta chini.
 
Mbatia kajidhalilisha na kuunajisi upinzani
Hatimae Chama cha Upinzani ni Kimoja tu. Na Chama hicho ndio hiki tunachokishuhudia kila siku Wafuasi na Viongozi wake wako Polisi ,Mahakamani na Magerezani.
Toka lini Mkuu wa Mkoa Kada wa CCM akampokea Mwenyekiti wa Chama cha Upinzani?

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Na cdm wanapaswa kuwa makini sana na huo mtego kwani wakijichanganya tu na hayo maigizo wanamalizwa. Ule ujinga wa Mbowe kutaka maridhiano yasiyo na kichwa wala miguu aache mara moja. Yeye ajikite kudai tume huru ya uchaguzi. Tunywe tu mtori, nyama tutazikuta chini.

Point tupu, cdm wawe werevu maana wao ndio wanatakiwa wamsifu jiwe ili akubalike. Cdm wasikamatwe na huo mtego mwepesi.
 
Hilo la kuwa confuse CHADEMA wasahau kabisa maana cdm walisha yajua hayo yote ndiyo maana unawaona wanapambana kivyao

Back
Top Bottom