Recent content by Mashiku wa kau

  1. M

    Bungeni kimenuka, Naibu Spika azomewa! Bunge lavunjika kabla ya muda...

    Unajua huo ni unyanyasi thahiri wa ccm. Maana huko ni kubadilisha hoja ya mnyika kabisaaa na pia niubabe wa magembe kwamba mta2fanyanini na huku cc ndo watawala...(ccm-chama cha mabausa).
  2. M

    Uzinduzi wa usafi ndani JIJI la ARUSHA tarehe 01/02/2013

    Uanze wapi ndo kwanza unazidi kuwa mchafu
  3. M

    Msaada tafadhali.... Binti huyu amefanya mapenzi na baba yake mzazi..soma kisa chake

    This is real shit thing, don't you see he's your father, You real not need a help, coz you plan it.
  4. M

    Hataki tufanye mapenzi mpaka tuoane

    Kwakweli huyo bibie atakua anakudanganya, mbona anakuambia kitu adimu sana ambacho si rahisi kukutana nacho, karne hii, Kama kweli unampenda fanya jambo moja, ambalo linaweza kukusaidia, tikisa kiberiti lkn ukiona, kinatikisika ujue hakupendi ila we unampenda... Hivyo huna budi kuchukua time...
  5. M

    Wanaume tuige mfano wa huyu mwenzetu

    Hatujakataa kwamba mfumo dume hautakiwi na sisi huku mtaani tunajaribu, kuupiga vita sana tu, lakini tuende mbele turudi nyuma ktk hyo picha inaonesha kama huo mfumo umeamia kwetu, sisi wanaume, kwasababu, kinachotakiwa ni kubalance ili isije ikajitokeza tena swala kama hlo,(Gender Balance).
Back
Top Bottom