Kwa wote mnaotafuta kazi

Kwa wote mnaotafuta kazi

Aggrey86

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
853
Reaction score
155
Kisha akawaambia "Tuseme mmoja wenu anaye rafiki,akaenda kwake usiku wa manane,akamwambia Rafiki tafadhali niazime mikate mitatu kwa kuwa rafiki yangu amepitia kwangu akiwa safarini nami sina cha kumpa,Naye akiwa ndani angemjibu "usinisumbue! Nimekwisha funga mlango.Mimi na watoto wangu tumelala siwezi kuamka nikupe! Hakika ingawa hataamka ampe kwa sababu yeye ni rafiki yake lakini,kwa sababu ya huyo mtu kuendelea kumwomba ataamka ampe chochote,kwa hiyo ombeni nanyi mtapewa,tafuteni nanyi mtapata,bisheni nanyi mtafunguliwa.Luka 11-5-13. Ninachotaka kuwaambia ndugu zangu ni kwamba msikate tamaa hata siku moja kwenye kutafuta kwenu endeleeni kugonga mbele ya Mungu wako unayemwabudu mwambie Mungu akufungulie mlango wa ajira mlilie Mungu wako,mtolee sauti Mungu wako,mwambie Mungu wako hakika nawaambieni mtaona Mungu alivyo mwema na atafungua tu usikatishwe tamaa eti sehemu fulani ukiomba kuna udini,kuna ukabira,kuna kujuana hapana wewe tuma tu barua zako mara kwa mara na unafanya juhudi za kutafuta kazi hakika maombi yako yatajibiwa tu..si umeona mfn, wa huyu rafiki aliyeenda kuomba mkate kwa rafiki yake usiku wa manane,japo jamaa alimjibu kwamba amekwisha lala lakini yeye aliendelea kugonga tu na kuomba jamaa baada ya kuona usumbufu akaamua kuamka na kumpa tu..najua hatuwezi kupata wote kwa pamoja ajira lakini yatupasa kupambana hadi mwisho hakika tutafanikiwa..kwa hiyo ndugu zangu msikatishwe tamaa na chochote kile..nawatakieni kila la kheri kwenye mapambano haya.Mungu awabariki sana Mungu ibariki JF iendelee kudumu.
 
Kisha akawaambia "Tuseme
mmoja wenu anaye rafiki,akaenda kwake usiku wa manane,akamwambia Rafiki
tafadhali niazime mikate mitatu kwa kuwa rafiki yangu amepitia kwangu
akiwa safarini nami sina cha kumpa,Naye akiwa ndani angemjibu
"usinisumbue! Nimekwisha funga mlango.Mimi na watoto wangu tumelala
siwezi kuamka nikupe! Hakika ingawa hataamka ampe kwa sababu yeye ni
rafiki yake lakini,kwa sababu ya huyo mtu kuendelea kumwomba ataamka
ampe chochote,kwa hiyo ombeni nanyi mtapewa,tafuteni nanyi
mtapata,bisheni nanyi mtafunguliwa.Luka 11-5-13. Ninachotaka kuwaambia
ndugu zangu ni kwamba msikate tamaa hata siku moja kwenye kutafuta kwenu
endeleeni kugonga mbele ya Mungu wako unayemwabudu mwambie Mungu
akufungulie mlango wa ajira mlilie Mungu wako,mtolee sauti Mungu
wako,mwambie Mungu wako hakika nawaambieni mtaona Mungu alivyo mwema na
atafungua tu usikatishwe tamaa eti sehemu fulani ukiomba kuna udini,kuna
ukabira,kuna kujuana hapana wewe tuma tu barua zako mara kwa mara na
unafanya juhudi za kutafuta kazi hakika maombi yako yatajibiwa tu..si
umeona mfn, wa huyu rafiki aliyeenda kuomba mkate kwa rafiki yake usiku
wa manane,japo jamaa alimjibu kwamba amekwisha lala lakini yeye
aliendelea kugonga tu na kuomba jamaa baada ya kuona usumbufu akaamua
kuamka na kumpa tu..najua hatuwezi kupata wote kwa pamoja ajira lakini
yatupasa kupambana hadi mwisho hakika tutafanikiwa..kwa hiyo ndugu zangu
msikatishwe tamaa na chochote kile..nawatakieni kila la kheri kwenye
mapambano haya.Mungu awabariki sana Mungu ibariki JF iendelee
kudumu.

Wise advise may God bless u.
 
find someone else to review your cv and application letter, what kind of jobs you do apply for and make sure you customize every job application. God before creating Mankind He first created sources of his basic needs. The principle is the same and will remain like that forever.

Anyone who need help for CV and application letter set up, and how to approach an interview session please pm my inbox.
 
Kisha akawaambia "Tuseme mmoja wenu anaye rafiki,akaenda kwake usiku wa manane,akamwambia Rafiki tafadhali niazime mikate mitatu kwa kuwa rafiki yangu amepitia kwangu akiwa safarini nami sina cha kumpa,Naye akiwa ndani angemjibu "usinisumbue! Nimekwisha funga mlango.Mimi na watoto wangu tumelala siwezi kuamka nikupe! Hakika ingawa hataamka ampe kwa sababu yeye ni rafiki yake lakini,kwa sababu ya huyo mtu kuendelea kumwomba ataamka ampe chochote,kwa hiyo ombeni nanyi mtapewa,tafuteni nanyi mtapata,bisheni nanyi mtafunguliwa.Luka 11-5-13. Ninachotaka kuwaambia ndugu zangu ni kwamba msikate tamaa hata siku moja kwenye kutafuta kwenu endeleeni kugonga mbele ya Mungu wako unayemwabudu mwambie Mungu akufungulie mlango wa ajira mlilie Mungu wako,mtolee sauti Mungu wako,mwambie Mungu wako hakika nawaambieni mtaona Mungu alivyo mwema na atafungua tu usikatishwe tamaa eti sehemu fulani ukiomba kuna udini,kuna ukabira,kuna kujuana hapana wewe tuma tu barua zako mara kwa mara na unafanya juhudi za kutafuta kazi hakika maombi yako yatajibiwa tu..si umeona mfn, wa huyu rafiki aliyeenda kuomba mkate kwa rafiki yake usiku wa manane,japo jamaa alimjibu kwamba amekwisha lala lakini yeye aliendelea kugonga tu na kuomba jamaa baada ya kuona usumbufu akaamua kuamka na kumpa tu..najua hatuwezi kupata wote kwa pamoja ajira lakini yatupasa kupambana hadi mwisho hakika tutafanikiwa..kwa hiyo ndugu zangu msikatishwe tamaa na chochote kile..nawatakieni kila la kheri kwenye mapambano haya.Mungu awabariki sana Mungu ibariki JF iendelee kudumu.
What matters most in life is what you targeted from the beginning and whether your targets are reconcilled with those of the creator. Kwa maombi sahihi waweza kupata chochote unachotamani maishani lakini si kweli kwamba chochote unachoomba kitakufaa maishani kwani ni lazima kiwe ndani ya mpango mzima wa mungu wa uumbaji.
In life never target the ordinary. You are a special person and quite different from all others. You must bring to earth something new and quite different from any other thing ever modeled. Something no other person can reproduce. Don’t go round yelling blue murder about piracy. Only material of ordinary values can be copied. Cough up something no human can copy. You are the best and there is no one like you, go for the biggest prize.
There is only the best and the greatest for you. Don’t spoil it by thinking as if you were an ordinary person, because you are not. Don’t see a person opening a supermarket and the next day you open yours directly across the street to contend with him. That’s chickening out and an open advertisement that you are empty of ideas.
You’ll reach nowhere and you will just live like an ordinary person and wait to fed out from the limelight. Instead of aiming at becoming an employer, you dream and aim at being employed. You don’t want to be yourself, but rather you want to be like somebody. To sing like him or her. To be great like him.
In such cases you’ll never become yourself. You will never go above the yardstick you have invented by yourself. If these whom you admire, go down, they go down with you. You share their spirit and it controls you. Be yourself. Aim for the highest stations in life, because the lower ones are never destined for anybody.
It is when you set out after such a goal as no other person can understand or comprehend or such as will make the doubting Thomases think you are out of your mind, that you will really be on the right footing. You will surely be on course and your reward is just round the bend. You are the only person who can understand your mark.
 
Thank u!hidel tutakupataje,maana nna mapunguf kidogo ktk kuandika cv pamoja na interview.
 
Kisha akawaambia "Tuseme mmoja wenu anaye rafiki,akaenda kwake usiku wa manane,akamwambia Rafiki tafadhali niazime mikate mitatu kwa kuwa rafiki yangu amepitia kwangu akiwa safarini nami sina cha kumpa,Naye akiwa ndani angemjibu "usinisumbue! Nimekwisha funga mlango.Mimi na watoto wangu tumelala siwezi kuamka nikupe! Hakika ingawa hataamka ampe kwa sababu yeye ni rafiki yake lakini,kwa sababu ya huyo mtu kuendelea kumwomba ataamka ampe chochote,kwa hiyo ombeni nanyi mtapewa,tafuteni nanyi mtapata,bisheni nanyi mtafunguliwa.Luka 11-5-13. Ninachotaka kuwaambia ndugu zangu ni kwamba msikate tamaa hata siku moja kwenye kutafuta kwenu endeleeni kugonga mbele ya Mungu wako unayemwabudu mwambie Mungu akufungulie mlango wa ajira mlilie Mungu wako,mtolee sauti Mungu wako,mwambie Mungu wako hakika nawaambieni mtaona Mungu alivyo mwema na atafungua tu usikatishwe tamaa eti sehemu fulani ukiomba kuna udini,kuna ukabira,kuna kujuana hapana wewe tuma tu barua zako mara kwa mara na unafanya juhudi za kutafuta kazi hakika maombi yako yatajibiwa tu..si umeona mfn, wa huyu rafiki aliyeenda kuomba mkate kwa rafiki yake usiku wa manane,japo jamaa alimjibu kwamba amekwisha lala lakini yeye aliendelea kugonga tu na kuomba jamaa baada ya kuona usumbufu akaamua kuamka na kumpa tu..najua hatuwezi kupata wote kwa pamoja ajira lakini yatupasa kupambana hadi mwisho hakika tutafanikiwa..kwa hiyo ndugu zangu msikatishwe tamaa na chochote kile..nawatakieni kila la kheri kwenye mapambano haya.Mungu awabariki sana Mungu ibariki JF iendelee kudumu.

Maneno matamu xana.
 
Luka 18:1-8 inapendeza kuongeza katka hili
 
Kisha akawaambia "Tuseme
mmoja wenu anaye rafiki,akaenda kwake usiku wa manane,akamwambia Rafiki
tafadhali niazime mikate mitatu kwa kuwa rafiki yangu amepitia kwangu
akiwa safarini nami sina cha kumpa,Naye akiwa ndani angemjibu
"usinisumbue! Nimekwisha funga mlango.Mimi na watoto wangu tumelala
siwezi kuamka nikupe! Hakika ingawa hataamka ampe kwa sababu yeye ni
rafiki yake lakini,kwa sababu ya huyo mtu kuendelea kumwomba ataamka
ampe chochote,kwa hiyo ombeni nanyi mtapewa,tafuteni nanyi
mtapata,bisheni nanyi mtafunguliwa.Luka 11-5-13. Ninachotaka kuwaambia
ndugu zangu ni kwamba msikate tamaa hata siku moja kwenye kutafuta kwenu
endeleeni kugonga mbele ya Mungu wako unayemwabudu mwambie Mungu
akufungulie mlango wa ajira mlilie Mungu wako,mtolee sauti Mungu
wako,mwambie Mungu wako hakika nawaambieni mtaona Mungu alivyo mwema na
atafungua tu usikatishwe tamaa eti sehemu fulani ukiomba kuna udini,kuna
ukabira,kuna kujuana hapana wewe tuma tu barua zako mara kwa mara na
unafanya juhudi za kutafuta kazi hakika maombi yako yatajibiwa tu..si
umeona mfn, wa huyu rafiki aliyeenda kuomba mkate kwa rafiki yake usiku
wa manane,japo jamaa alimjibu kwamba amekwisha lala lakini yeye
aliendelea kugonga tu na kuomba jamaa baada ya kuona usumbufu akaamua
kuamka na kumpa tu..najua hatuwezi kupata wote kwa pamoja ajira lakini
yatupasa kupambana hadi mwisho hakika tutafanikiwa..kwa hiyo ndugu zangu
msikatishwe tamaa na chochote kile..nawatakieni kila la kheri kwenye
mapambano haya.Mungu awabariki sana Mungu ibariki JF iendelee
kudumu.

ubarikiwe kwa kutupatia ushauri na kututia moyo.
 
kisha akawaambia "tuseme mmoja wenu anaye rafiki,akaenda kwake usiku wa manane,akamwambia rafiki tafadhali niazime mikate mitatu kwa kuwa rafiki yangu amepitia kwangu akiwa safarini nami sina cha kumpa,naye akiwa ndani angemjibu "usinisumbue! Nimekwisha funga mlango.mimi na watoto wangu tumelala siwezi kuamka nikupe! Hakika ingawa hataamka ampe kwa sababu yeye ni rafiki yake lakini,kwa sababu ya huyo mtu kuendelea kumwomba ataamka ampe chochote,kwa hiyo ombeni nanyi mtapewa,tafuteni nanyi mtapata,bisheni nanyi mtafunguliwa.luka 11-5-13. Ninachotaka kuwaambia ndugu zangu ni kwamba msikate tamaa hata siku moja kwenye kutafuta kwenu endeleeni kugonga mbele ya mungu wako unayemwabudu mwambie mungu akufungulie mlango wa ajira mlilie mungu wako,mtolee sauti mungu wako,mwambie mungu wako hakika nawaambieni mtaona mungu alivyo mwema na atafungua tu usikatishwe tamaa eti sehemu fulani ukiomba kuna udini,kuna ukabira,kuna kujuana hapana wewe tuma tu barua zako mara kwa mara na unafanya juhudi za kutafuta kazi hakika maombi yako yatajibiwa tu..si umeona mfn, wa huyu rafiki aliyeenda kuomba mkate kwa rafiki yake usiku wa manane,japo jamaa alimjibu kwamba amekwisha lala lakini yeye aliendelea kugonga tu na kuomba jamaa baada ya kuona usumbufu akaamua kuamka na kumpa tu..najua hatuwezi kupata wote kwa pamoja ajira lakini yatupasa kupambana hadi mwisho hakika tutafanikiwa..kwa hiyo ndugu zangu msikatishwe tamaa na chochote kile..nawatakieni kila la kheri kwenye mapambano haya.mungu awabariki sana mungu ibariki jf iendelee kudumu.

asante kwa ujumbe nzuri wa kututia moyo mungu wangu akubariki sana mpendwa.
 
Mungu akuinue kwa kuona haja zetu uzidi kuziona baraka tele maishani mwako we thanks almight work its 4 us lets kp on
 
Amina sana ndugu,ipo cku atatenda na tusiache kuja kumshuhudia tena hapa akitushindia tena..
 
Back
Top Bottom