KWA NINI SI VYEMA KUANZIA DUKA LA DAWA (PHARMACY) PINDI UNAPOUGUA
Neno Pharmacy linaelezwa katika kamusi ya mtandaoni ya Merriam Webster likiwa na maana mbili (tafsiri imefanywa na mimi mwenyewe): 1. Ujuzi ama fani ya kuandaa, kutunza, kuweka pamoja na kutoa madawa. 2. Mahali ambapo madawa...
Hahaaaaaa pole karbon 14 si kila mtu humu ni msomi, mm sisomi nabisha uongo mnaopotosha ndani humu. Kwa mantiki hiyo usiniite msomi endelea kupiga kitabu kijana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sibishanaga na mashoga... kama ni ujinga ni wangu unakuhusu nn na siyo lazima usome comments zangu.
Huna cha kucoment Kaa kimya na siyo kuniita mjinga.
Mwandawazi ww.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu msamehe kila muwamba ngoma huvutia kwake. Thread zingine za kipuuzi kama hizi wasilete. Unashindanisha vyuo choko na vyuo vya maana. Na nimegundua jamaa hakutaka ushauri bali anashindanisha ivo vyuo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia kuna pharmacy pale nahisi saizi mambo yamewekwa sawa maana kabla ya hapo kuna watu hawakutambulika wakati wa ajira.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.