Kati ya vyuo hivi vya pharmacy, kipi kitamfaa?

Kati ya vyuo hivi vya pharmacy, kipi kitamfaa?

Clearly wewe ni muongoni mwa vilaza wachache mliojikuta medical school and all you can do is bragging about your school

Hatupimi uwezo medical personnel kwa chuo alichosoma wala GPA kubwa

Hata hapo MUHAS kuna vilaza mubashara wazuri tu

No hard feelings

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipimo chake ni nn kwa akili yako ya mandazi? Huwez kufananisha mtu aliyesoma muhas na harvad, student wa harvard atabaki na heshima yake 2.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote hapa mnaotokwa povu nina uhakika hamjui Kitu chochote kuhusu St john ndio maana hakuna alieongea cha Maana eti ni mazwazwa na ilhali huna data zinazoeleweka kuprove point yako. Eti Hospital, Mbona udom rotation walikuwa wanafanyia Iringa, kairuki wanafanyia Dom. Hospital ni muhimu lakn si lazima sana kwenye pharmacy Kitu cha lazima ni lab. Rotation unafanyia Hospital yeyote. St John imeanza kutoa pharmacy toka batch za mwanzo na ina graduates wengi tu kitaa. Kama una wasiwasi tafuta records za pharmacy council uone. Sjut ina qualified staff katika school of pharmacy, kila department ina senior na assistant lecturers ambao wana sifa zote zinazotakiwa. Mnaocriticize jaribuni kutoa strong points basi na sio kugeneralize vitu ambavyo hauko well informed.
Jikite katika
Studying environment
Qualified staff
Course content
Na ningependa zaidi hizo critics zitoke kwa wanaosoma na waliosoma pharmacy

Kijibabu
 
Nyuzi zingine inabidi tu ucheke kwa hasira.

Chuo chenyewe TCU imekiwekea mkasi/× halafu wewe unaleta porojo.

Ningekuzaba vibao , ila sheria za nchi haziruhusu mtu kujichukulia sheria mikononi.
 
Nyuzi zingine inabidi tu ucheke kwa hasira.

Chuo chenyewe TCU imekiwekea mkasi/× halafu wewe unaleta porojo.

Ningekuzaba vibao , ila sheria za nchi haziruhusu mtu kujichukulia sheria mikononi.
mkuu msamehe kila muwamba ngoma huvutia kwake. Thread zingine za kipuuzi kama hizi wasilete. Unashindanisha vyuo choko na vyuo vya maana. Na nimegundua jamaa hakutaka ushauri bali anashindanisha ivo vyuo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyuzi zingine inabidi tu ucheke kwa hasira.

Chuo chenyewe TCU imekiwekea mkasi/× halafu wewe unaleta porojo.

Ningekuzaba vibao , ila sheria za nchi haziruhusu mtu kujichukulia sheria mikononi.
Kweli kabisa mkuu huyu jamaa anazngua
 
mkuu msamehe kila muwamba ngoma huvutia kwake. Thread zingine za kipuuzi kama hizi wasilete. Unashindanisha vyuo choko na vyuo vya maana. Na nimegundua jamaa hakutaka ushauri bali anashindanisha ivo vyuo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Basi tena jukwaa hili ni huru maana kila anayeweza kupata bundle anaingia tu.

Hiyo ndiyo changamoto.
 
Samahani kwa kuwaingilia kwenye hili jukwaa hasa huu uzi....kati ya ordinal diploma in pharmacy na ordinal diploma in water quality laboratory ipi nzuri kimaslah i.e kujiajiri or kuajiriwa ..naombeni msaada nimsaidie huyu kijana...shukrani
 
Pharmacy njia ni nyeupe sana. Kuajiriwa na kujiajiri.
 
Mpeleke dogo mazengo sec school, iliyopewa jina la St JOHN, chuo kikuu duniani kinachotoa coz za AFYA kisichokuwa na hospitali for practice. Na huo ubora sijui uliupima ww, ndio kikawa the best east africa, while hata bongo tu top 10 hakipo ?

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hebu weka list ya vyuo kumi bora vya pharmacy Tanzania
 
Back
Top Bottom