Nimekuelewa hapa mtu ukiona ni sawa katika speech hizi ni lazima mfumo wako wa kufikiri utakua umeolewa ama umefungwa,hivyo hauna haki ya kufikiri na kuchambua jema na baya,,,nikipata mda nitatengeneza uzi kuonesha tofauti ya speech na mazingira yake,mfano kuna speech anatoa amiri jeshi mkuu...