Watoto wako wanasema shule binafsi wanapelekwa na kurudishwa na school bus ndiyo maana unaona ni sahihi kwa Yao watoto wa wengine kufyatua tofari. Wazazi ndiyo walitakiwa kufanya kazi hiyo.
Ukisafiri kwa treni hii kutoka Mbeya kuja Dar as Salaam unalipa nauli zaidi ya shilingi arobaini lakini unapewa tiketi inayoonyesha kuwa umelipa shilingi elfu ishirini na Saba. Ukiuliza kwanini unapewa maelezo yasiyojitosheleza. Kama wahusika hawajaona ubadhilifu huu basi naomba Rais Magufuli...
Mimi ni mmoja wa Wanafunzi katika chuo hiki ambacho baadhi ya Wakufunzi wanajituma sana kuhakikisha tunapata elimu bora juu ya fani ya tiba.Tunawapongeza kwa hili.
Hiki chuo kiko chini ya Wizara ya Afya lakini kuna baadhi ya Wakufunzi Wanajeshi wanatunyanyasa sana.
Tunashindwa kuelewa sheria...
Natamani Mtikila angekuwepo leo hawa wanyang'anti wangefikishwa mahakamani kwa huu wizi wa mchana. Wafanyakazi hatuna mtetezi kabisa. 2020 itaamua hatma yetu.
Akistaafu akae miaka miwili bila kupewa mafao yake ili aonje muziki wanaocheza wastaafu wa Tanzania. Mpaka unapokuja kupewa mafao hayo yote unalipa madeni tu uliyokopa kwa watu mbalimbali ili kupunguza makali ya maisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.