Recent content by MasharubuMYJ

  1. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya CHADEMA kwa wahanga wa HESLB, mnataka mpewe nini tena?!

    Kipenzi chako sio cha watanzania. Mbona unawasemea wengine?
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najiuliza tu jamani

    Ivi inawezekana kwa mwanamke aliyeachwa na mume wake kwa zaidi ya mwaka mmoja asiwe amefanya ngono na mwingine kwa muda wote huo kweli? Tupeni uzoefu. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mke wa Kuoa

    Niliachana na mke miezi sita iliyopita kutokana na mke kutokuwa mwaminifu na kuchepuka mara kadhaa. Nina watoto Wawili wa kiume mmoja na wa kike mmoja. Wote wanasoma shule ya Msingi. Mimi ni mwalimu. Natafuta mke wa kuoa. Mke awe mwaminifu na mwenye hofu ya Mungu, awe na miaka kati ya 22 hadi...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho juu ya Mada "Mke kaniweka njia panda, naombeni ushauri"

    Naufanyia kazi ushauri wenu, soon nitakuwa kwenye safe side baada ya uamuzi nitakaotoa mbele ya wazazi.
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho juu ya Mada "Mke kaniweka njia panda, naombeni ushauri"

    Asanteni sana, hakuna kitu cha kulainika hapa, tena hapa nina hasira balaa....
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho juu ya Mada "Mke kaniweka njia panda, naombeni ushauri"

    Baada ya kufanyia kazi ushauri wenu wadau, ufuatao ni mrejesho na kama kuna ushauri kwa kilichotokea nakaribisha. Nilimuuliza bila kujali analia wala nini, kwamba aliwahi kutembea na mtu mwingine yeyote baada ya kufunga ndoa? alikataa kata kata futi mia kuwa hajawahi kabla ya kuoana na baada ya...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke kaniweka njia panda, naombeni ushauri

    Wapendwa Mungu awabariki sana kwa ushauri wenu mlionipa, nimepata elimu ya kutosha kabisa juu tatizo langu. Wengi wenu mlitoa ushauri kwa kuchukulia kama ni tatizo lenu na kutoa maoni stahiki, ninawashukuru sana. Kufikia hapa nimeshapata mwelekeo wa ninachotakiwa kufanya. Niwaahidi kuwa...
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke kaniweka njia panda, naombeni ushauri

    Ndiyo
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke kaniweka njia panda, naombeni ushauri

    Mimi ni mwanaume wa miaka 35, nilioa mwaka 2009 kabla ya kuoana tulipima na wote tulionekana tupo salama. Tukazaa watoto wawili, mwaka 2013 mke alianza kuumwa, alikuwa anatibiwa homa inarudia rudia, baada ya hali kuzidi akashauriwa kupima ukimwi mwaka 2015 na ndipo akagundulika kuwa...
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke kaniweka njia panda, naombeni ushauri

    Anyway, nawashukuru kwa ushauri wenu wadau, kuna watu wamesema nimsamehe maisha yaendelee, Kama umenisoma vizuri utaona tangu 2015 hadi leo ni muda umepita, kimsingi nilimsamehe na kukubali hali iliyopo. Lakini kwa nini sasa na kwa nini nauliza ushauri kwa wadau ni kwamba nimeona zipo Dalili...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke kaniweka njia panda, naombeni ushauri

    OK Sawa Asante sana kwa ushauri wako
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke kaniweka njia panda, naombeni ushauri

    Niko salama kabisa, juzi tu mwezi wa nane nimerudia kupima niko safi tu, ushauri alipewa yeye,,,, unajua baada ya kuona ameathirika alikuwa anachukua dawa hospitali fulani hivi, alivoona sijui watu wameanza kumkariri alihama kituo cha dawa, amekaa kidogo tena kahama. Hata hivyo kwenye hivyo...
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke kaniweka njia panda, naombeni ushauri

    Nawashukuru kwa ushauri wenu, sizuii mtu yeyote kutoa maoni kwa lugha na kauli yoyote ile,,, kuweni huru kabisa na kadiri lugha kali inavyotolewa ndivyo ninapoongezewa ujasiri wa kukabiliana na hili suala,,, kuweni huru wapendwa.
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke kaniweka njia panda, naombeni ushauri

    Asante kwa maoni yako, Mungu awabariki sana
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke kaniweka njia panda, naombeni ushauri

    Asante sana kwa ushauri wako,,,, ndio maana nimeweka humu ili mnisaidie kimawazo, mawazo ni zaidi ya dawa ndugu zanguni,,, bado endeleeni kutoa nahitaji sana mawazo kama yako Mungu awabariki sana
Back
Top Bottom