Recent content by mashambe mashambe

  1. mashambe mashambe

    Mahakamani kuna siri gani? Niliwahi kwenda kwa Mganga wa Kienyeji ili Hakimu na mashahidi washindwe kuongea au kuzungumza Mahakamani

    Naomba mtambue kuwa kila eneo lina mtawala au mnyama anayesimama kwa niaba au niite madhabahu,na serikali sio/haiamini uchawi ila watu wake wanaamini. Mfano jiulize mahakamani nyama Gani anahusika,benk,makanisani mg st something(altars),ukishajua hii Siri husumbuki kabisa.
  2. mashambe mashambe

    Jinsi ya kumuona mchawi au mwizi anayekuja usiku ukiwa umelala

    Je Kuna ukweli wowote kuwa ukimwona paka anajamiiana na vibaya au mkosi?
  3. mashambe mashambe

    Makampuni ya simu yameongeza gharama za makato katika huduma za kifedha, Serikali iingilie kati unyonyaji huu

    Huko ndio majanga zaidi,usichekelee unavyoona umekatwa kidogo nenda kaangalie benk statement ndio utaelewa.
  4. mashambe mashambe

    Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

    Ulikutana navyo eneo gani la same secindari? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mashambe mashambe

    Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

    Hopenit was Chuma ulete Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mashambe mashambe

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Naomba kujuzwa kwann ukikamilisha usajili kwa alama za vidole majina ya MPESA hayabadiliki?
  7. mashambe mashambe

    Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

    Upepo wa kisurisuri ni UPI?Naomba kujua
  8. mashambe mashambe

    Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) yakanusha taarifa ya kutoza Tzs 15,000 kwa watumiaji wa Whatsapp

    Naomba kuuliza,VP kama Nina Tin no ya TRA na nataka kuifunga nikiwa mkoa mwingine he inawezekana
  9. mashambe mashambe

    Kuna familia zina laana ya asili

    Majina tunayopewa nayo ni tatizo,samahani kila mfano jina NDELYAUKIWA.SO JINA LAKO MAISHA YAKO
  10. mashambe mashambe

    Makampuni ya huduma za simu za mkononi mjipange, huu ndio inadaiwa utakuwa mtiririko wa vifurushi vya Azam Telecom

    Hakuna kwenye unafuu hata mmoja,.mfano kuanzia Jana tigo wamepunguza commission ya kutoa pesa na kuweka kwa mawakala,,..kama wewe ni Wakala angalia hilo kwa kila muamala wa kutoa na kuweka
  11. mashambe mashambe

    Mch. Francis Mbalase: Kama mnajua kuombewa mjue pia na kutubu

    Wakati wanaapishwa wanawahitaji sana ila wakiwaambia ukweli inakuwa nongwa
  12. mashambe mashambe

    Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    Naufatilia Uzi huu kinagaubaga sana ilanaweza changia walao kidogo,, Kwanza nikubali hizi power zipo ila kinachofanya wengi tuzipoteze ni madhambi hasa ya zinaa(changanya changanya ya wanawake)
Back
Top Bottom