Kwa asilimia hamsini naunga mkono hoja ya mheshimiwa. Ila tujue kama biblia ilivyowataja matowashi na michepuko ipo ya aina tofauti na sababu tofauti. Moja michepuko kutokana na tabia ya umalaya. Mbili michepuko inayosababishwa na matatizo ya ndoa na tatu michepuko inayosababisshwa na...
Katika maisha ya ndoa naona huyo mwanaume anaweza kuwa right sababu alipotoka asubuhi alipaswa kujua ana mafuta ya kutosha au la. Pili alipokuwa kazini kabla ya kutoka alipaswa kujua kama hana mafuta amtume hata mlinzi. Unaenda na gari mpaka likuzimikie ili watu wajue mke wa Fulani kazimikiwa na...
Kwa asilimia hamsini naunga mkono hoja ya mheshimiwa. Ila tujue kama biblia ilivyowataja matowashi na michepuko ipo ya aina tofauti na sababu tofauti. Moja michepuko kutokana na tabia ya umalaya. Mbili michepuko inayosababishwa na matatizo ya ndoa na tatu michepuko inayosababisshwa na...
Huyu jamaa ukimchunguza vizuri ndio chanzo cha mgogoro wa hiyo ndoa ya rafiki yake. Nini kilikuwa kinawagombanisha mpaka akaamua kutembea na mkewe, kwa mbaliii naona jamaa alishaanza kumuhisi kuwa na yeye ni mmoja wa wanaommega mkewe. Kwa mazingira aliyosema ya kupewa nafasi na huyo mwanamke...
CTU mbona itigi pale msamvu morogoro hujaisemea? Wapo wa buku, bia moja na kama ni handsome unapewa ofa. Ila ukingia chumbani dakika mbili unagongewa na anakuambia mme wake amekuja. Sasa balaa lake ni vibao na kusachiwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.