Utaratibu huu ni kweli hajui au makusudi?

chopeko

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
1,531
2,000
kuna jamaa anasema ni church ila me sina uhakika!
160739_p_20140526102136_01.jpg
 
Tiba

JF-Expert Member
Jul 15, 2008
4,596
2,000
Huu ndio unaitwa mmomonyoko wa maadili. Haijalishi kama ni kanisani, ofisini au kwenye baa uvaaji huu haukubaliki. Ukijua umevaa suruali ambayo ukikaa ka bikini kako kanabaki wazi, kwa nini usivae blauzi ndefu ya kukusitiri?

Zamani ilikuwa ni aibu chupi ya mwanamke kuonekana hadharani, lakini siku hizi nini chupi, hata papuchi zinaachwa nje nje tu kwenye public.

Tiba
 
ICHANA

JF-Expert Member
May 10, 2012
4,780
2,000
Alaaniwe kwa uvaaji huu
Iwe church or not huu ni uupuzi
Cijui kwann watu hawajitambui na wamekuwa wanapenda uovu badala ya wema
 
kadakokigondile

JF-Expert Member
May 17, 2013
1,714
1,195
Huu ndio unaitwa mmomonyoko wa maadili. Haijalishi kama ni kanisani, ofisini au kwenye baa uvaaji huu haukubaliki. Ukijua umevaa suruali ambayo ukikaa ka bikini kako kanabaki wazi, kwa nini usivae blauzi ndefu ya kukusitiri?

Zamani ilikuwa ni aibu chupi ya mwanamke kuonekana hadharani, lakini siku hizi nini chupi, hata papuchi zinaachwa nje nje tu kwenye public.

Tiba

Biashara ni matangazo
 
farkhina

Platinum Member
Mar 14, 2012
14,755
2,000
Icho anachokionesha ata hakitambulikane shauri

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom