Anajiita Blogger Maarufu Tz Nzima!!!

Anajiita Blogger Maarufu Tz Nzima!!!

Are you serious ni 56 na ana act like that? Sasa naelewa kwa nini mkewe kule Marekani alimtwanga jamaa talaka mpaka akarudi Bongo.

Honestly mi mwanzoni nilijua watu wanamuonea humu...ila kama ulifanyanikiwa kuiona thread yake ya "kuikosoa" NBC na the way alivyokuwa anarespond kwa comments za watu....I said to myself that kumbe I'm wise at my 20s of age really!!!!
 
ni maksudi au.PNG
Please, Le mutuz change date setting katika ujumbe usemao posted by William Malecela on Monday June, 30, 2014 sijui ni typing error au mwenzetu ushauanza mwezi wa sita, ni hayo tu.
 
Mtu mmoja mwenye hekima aliwahi kusema hivi : " UKIONA WATU USIO FAHAMIANA NAO WANAKUCHUKIA, BASI JUA WANAKUKUBALI SANA, ILA WANACHUKIA KWANINI WANAKUKUBALI "

Kwa muda mrefu sasa tangu aanze kujihusisha na masuala ya Social Network, Lemutuz amekuwa muhanga wa lugha za dharau, kejeli na matusi kutoka kwa watu mbalimbali wanao tumia mitandao hiyo.

Kila mara jina la LEMUTUZ linapotajwa hapa JF au kule Tanuru la Fikra basi kinacho fuatia huwa ni lugha za matusi, kejeli na kashfa. Watu wengine wanatoa lugha komenti zao katika namna inayo onyesha kuwa wana uchungu sana mioyoni mwao....

Nilijaribu kufanya uchunguzi wangu kujua ni kitu gani kinacho wafanya watu wamchukie Lemutuz kwa kiwango hicho? Sikupata sababu yoyote ya msingi, isipokuwa nilicho kiona ni hicho hapo juu nilicho kisema. Watu wanamkumbali Lemutuz but wanachukia kwanini wanamkubali Lemutuz, mwisho wa siku wanaishia kuexpress their feelings kwa kuandika lugha zisizo faa dhidi ya brother huyu.....

Kwa sisi watu tunao tazama mambo kwa jicho la INRI huwa hatupendi kuona mtu anaonewa bila sababu ya msingi. Tunaamini hakuna mtu aliye mkamilifu...

well said pal..kila mtu ana mapungufu yake..hakuna aliye mkamilifu
 
Le mutuz,le baharia,le big show,mutu ya watu,aah,-hakuumbwa na mungu ili apendwe na kila mtu,au achukiwe na kila mtu,hivyo yeyote anayempenda kwa tabia yake. Au kumchukia kwa tabia yake,anatimiza haki na wajibu wa ubinadamu wake.maana hata wewe wapo wanaokupenda kwa tabia zako,au kukuchukia kwa tabia zako,cha kukumbukwa ni kwamba sisi tuu wanadamu ,tuliyoumbwa kwa mapungufu,na hayupo mkamilifu wa vyote.
 
Hilo jamaa ni hasara kubwa kwa wazazi wake, at 56 years of age lilitakiwa kuwa linafanya shuguli zenye tija kwa taifa badala ya kushika pembe kwenye mibebez ya watu...
Haha haaaah utadhani akili zimehamia tumboni.

He he he left mutuz aka mshika pembe
 
Ni kweli....aliposoma tu ile habari akakimbilia moja kwa moja kwa Mh. ili awe a kwanza wa kupiga naye picha. Huyu alilimwa talaka na mkewe Marekani kwa ujinga huu huu wa umbea. Yaani haka kajamaa kanakaribia 50 years old ila kana akili za kipashukuna na utoto sana.

Hahaahaha nimecheka hyo kauli mpaka watu wamenishangaa duu eti akili za kipashkuna
 
Le mutuz,le baharia,le big show,mutu ya watu,aah,-hakuumbwa na mungu ili apendwe na kila mtu,au achukiwe na kila mtu,hivyo yeyote anayempenda kwa tabia yake. Au kumchukia kwa tabia yake,anatimiza haki na wajibu wa ubinadamu wake.maana hata wewe wapo wanaokupenda kwa tabia zako,au kukuchukia kwa tabia zako,cha kukumbukwa ni kwamba sisi tuu wanadamu ,tuliyoumbwa kwa mapungufu,na hayupo mkamilifu wa vyote.

dc huyu mzee kijana amezidi bwana aaah jitu zima ila mambo ya kitoto kama ndo anapevuka
 
Mtu mmoja mwenye hekima aliwahi kusema hivi : " UKIONA WATU USIO FAHAMIANA NAO WANAKUCHUKIA, BASI JUA WANAKUKUBALI SANA, ILA WANACHUKIA KWANINI WANAKUKUBALI "

Kwa muda mrefu sasa tangu aanze kujihusisha na masuala ya Social Network, Lemutuz amekuwa muhanga wa lugha za dharau, kejeli na matusi kutoka kwa watu mbalimbali wanao tumia mitandao hiyo.

Kila mara jina la LEMUTUZ linapotajwa hapa JF au kule Tanuru la Fikra basi kinacho fuatia huwa ni lugha za matusi, kejeli na kashfa. Watu wengine wanatoa lugha komenti zao katika namna inayo onyesha kuwa wana uchungu sana mioyoni mwao....

Nilijaribu kufanya uchunguzi wangu kujua ni kitu gani kinacho wafanya watu wamchukie Lemutuz kwa kiwango hicho? Sikupata sababu yoyote ya msingi, isipokuwa nilicho kiona ni hicho hapo juu nilicho kisema. Watu wanamkumbali Lemutuz but wanachukia kwanini wanamkubali Lemutuz, mwisho wa siku wanaishia kuexpress their feelings kwa kuandika lugha zisizo faa dhidi ya brother huyu.....

Kwa sisi watu tunao tazama mambo kwa jicho la INRI huwa hatupendi kuona mtu anaonewa bila sababu ya msingi. Tunaamini hakuna mtu aliye mkamilifu...

Hukupata sababu sababu labda na ww ni muumini Wa upashkuna wake au kubwa king kama le mutuz
 
Simpendi na simchukii ommy dimpoz but Napenda nyimbo zake....kusema le mutuz hana kitu cha kukifuatalia its wrong..sio Lazima umpende ili kum watch na his movements

Sio kweli boss
 
Kwa hiyo ukadhani umetuimanisha kwa ku-quote mtu mmoja aliyewahi kusema na mtu huyo hajulikana labda ni wewe? Twambie nani alisema hivyo.
Mimi simjui huyu mtu ila simkubali pia kwa pumba zake za mara kwa mara na kwa sababu sikubaliani na pumba zake kwa hiyo sipendi pumba zake na hiyo namchukia kwa kila akitoa pumba zake. namuona kama mtu hewa kichwani

Mwisho Wa kunukuu manina
Left mutuz my as.s
 
Honestly mi mwanzoni nilijua watu wanamuonea humu...ila kama ulifanyanikiwa kuiona thread yake ya "kuikosoa" NBC na the way alivyokuwa anarespond kwa comments za watu....I said to myself that kumbe I'm wise at my 20s of age really!!!!

Cheers mate. Namsikitikia atakayemuoa kwani hajuwi anakwenda wapi?
 
Hilo jamaa ni hasara kubwa kwa wazazi wake, at 56 years of age lilitakiwa kuwa linafanya shuguli zenye tija kwa taifa badala ya kushika pembe kwenye mibebez ya watu...
Haha haaaah utadhani akili zimehamia tumboni.
He hee,'kushika pembe'! Umenikumbusha mbali sana.
 
Le mutuz,le baharia,le big show,mutu ya watu,aah,-hakuumbwa na mungu ili apendwe na kila mtu,au achukiwe na kila mtu,hivyo yeyote anayempenda kwa tabia yake. Au kumchukia kwa tabia yake,anatimiza haki na wajibu wa ubinadamu wake.maana hata wewe wapo wanaokupenda kwa tabia zako,au kukuchukia kwa tabia zako,cha kukumbukwa ni kwamba sisi tuu wanadamu ,tuliyoumbwa kwa mapungufu,na hayupo mkamilifu wa vyote.

eti huyu nae ni mkuu wa wilaya....
 
Back
Top Bottom