Recent content by mashahu

  1. M

    Kama umekaa na namba ya simu kwa miaka 10 na kuendelea, nakupongeza sana!

    Nimetumia namba yangu ya voda tangu 2001 hadi sasa ipo naitumia.
  2. M

    Maji ya kilimanjaro sio mazuri siku hizi

    Kama hadi unatapika inabidi uangalie mzunguko wako au kapime kwanza mkojo.
  3. M

    Hii ndiyo treni yenye spidi ya kasi sawa na ndege, nilidhani uongo kumbe kweli

    Hapo ni wapi? Au unafikiri wote humu tunaishi sehemu moja?
  4. M

    Elly SaSii kuchezesha Kariakoo Derby Agost 8, 2024

    Uko unaandika na unatembea, kwanini usikae kwanza?
  5. M

    Navukaje hapa wakuu

    Ewaaaaa!!! Sasa hapo kwenye bakora ndio umenena vizuri. Piga bakora usiku kucha usiruhusu asinzie hata kidogo ndio atakuheshimu.
  6. M

    PreGE2025 Namshukuru Rais Samia napata mshahara ninaostahili kama Bingwa katika fani yangu

    Bingwa kabisaaa!! Utakuwa ni daktari bingwa wa ng'ombe wewe!!
  7. M

    Bsc in doctor of medicine cuhas -Bugando ,st Francis- ifakara,kcmc -kilimanjaro

    Unataka kusoma kweli, au unafanya utafiti? Mzee wa BSc. MD😀😀
  8. M

    Hivi kwanini tunajamba na kujisaidia haja kubwa?!! Mbona ni vitendo vya aibu sana?!!!

    Ila nafikiri huwa siyo lazima unaweza ukaacha tu.
  9. M

    Nilivyooa Kimasihara

    Nyambafu sana wewe!!! Eti hela sizichukui labda mwizi aje azichukuwe!!
  10. M

    TANZIA Mhasibu jiji la Mwanza afariki ajalini akiwahi kwenye mazishi

    Toyota progres ya serikali!!! umezingua pakubwa.
  11. M

    Raia amshauri Rais Samia asiongeze mishahara

    Siyo yule muuza madafu kweli?
Back
Top Bottom