Recent content by mashaboy

  1. mashaboy

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhari wa unlock code

    habari wakuu. nina simu ya nokia lumia 521 ambayo imekuwa locked kutumika kwa line za T MOBILE na ningependa kufahamu kama naweza kupata namna ya kuifungua iweze kutumia line zote kwa sababu ninapoiwasha na line nyingine inaomba niweke unlock code.
  2. mashaboy

    JamiiForums Tanzania A beautiful lady needed

    Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 31, degree holder and good looking. Niko hapa kutafuta binti wa kitanzania mwenye umri usiozidi miaka 31 ambaye yuko tayari kwa long term relationship kabila dini rangi na elimu sio vigezo sana. Only those ambao wako serious please come PM.
  3. mashaboy

    JamiiForums Tanzania Kiwanja/shamba linauzwa

    shamba/kiwanja kilichopimwa kiko maeneo ya mbweni dar es salaam kinauzwa kina ukubwa wa spr meter 1000.contact 150M.contact 0754531545
  4. mashaboy

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamesajili Ronaldo jana, muda wowote CCM wanasajili Messi, Kazi ipo!

    napata wasiwasi kama jina lako linatambuliwa na TCU inaonesha you are very ignorant
  5. mashaboy

    JamiiForums Tanzania Septemba 6 2014: Simba vs Gor Mahia, kutoka Uwanja wa Taifa

    Habar ndo hyo
  6. mashaboy

    JamiiForums Tanzania Septemba 6 2014: Simba vs Gor Mahia, kutoka Uwanja wa Taifa

    Nimepata habari full time simba kashinda tatu bila
  7. mashaboy

    JamiiForums Tanzania Septemba 6 2014: Simba vs Gor Mahia, kutoka Uwanja wa Taifa

    Updates mlioko huko
  8. mashaboy

    JamiiForums Tanzania kama unaweza kupatata muda wa japo dakika moja ya enternet kwa siku here is a great deal

    its a job online u just post a link to advertise.thats all '
  9. mashaboy

    JamiiForums Tanzania kama unaweza kupatata muda wa japo dakika moja ya enternet kwa siku here is a great deal

    tasktojob ndo jibu lako.Here is the way you can get free money just click on the link and register.registration is free and takes less than 30 seconds.https://www.jamiiforums.com//index.php?task=95630 click na register kisha soma namna unavyoweza kutengeneza pesa.
  10. mashaboy

    JamiiForums Tanzania Watu wa Kemondo jijini Mwanza wana ufinyu wa fikira huru na ushabiki wa kipuuzi

    mwanza hakuna wafuasi wa zitto kuna wafuasi na wana CHADEMA.so tell zito not to try rock city...
  11. mashaboy

    JamiiForums Tanzania Kumekucha bungeni, kura kwa kura juu ya ushiriki wa zanzibar ktk hatima ya katiba mpa

    Ukweli wa mambo sasa hadharani sijui watawaambia nini wananchi wakati wa kuomba kula manaake hapo hata JK aliewaambia waseme ndio hatakuwepo
  12. mashaboy

    JamiiForums Tanzania Hali ya hewa yachafuka Mwanza: Polisi wapambana na wafuasi wa CHADEMA

    Chanzo cha maandamano ni baada ya mkuu wa mkoa kukataa kuja viwanja vya furahisha ambapo ndio alisema atakuja kupokea umati wa watu na kusikiliza hoja zao!wananchi wakaamua kumfuata kwenye ofisi yake ikabidi polisi wawazuie njiani maeneo ya nella
  13. mashaboy

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri viwanja vya NMC na hatma ya Jimbo la Arusha Mjini

    from the bottom of my heart nasema chadema wanachukua nchi 2015
Back
Top Bottom