Septemba 6 2014: Simba vs Gor Mahia, kutoka Uwanja wa Taifa

Septemba 6 2014: Simba vs Gor Mahia, kutoka Uwanja wa Taifa

KATIBUA

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
288
Reaction score
63
Baada ya ujio wa Patrick Phili na vuguvugu la usajiri, SIMBA SC leo wanajitupa uwanja wa Taifa.
Kwa updates pitia hapa
 
Asante tunasubir updates...Hivi inaanza saa ngapi vileee?
 
Saa kumi kamili. Mvua imenyesha eneo la uwanja wa Taifa, watu wanasema ni majaribio kabla ligi aijaanza!
 
Zenji mechi 3 tumeshinda goli 9 tumefungwa 1 maana yake timu imeiva.
Leo ndio kipimo mahsusi kwa Patrick Philli Mtaalamu
 
Mechi ya leo simba itawakosa amissi tambwe na kwizera wapo na timu ya taifa burundi,pia itawakosa kiemba,ndemla,chanongo na mgeveke wapo starz,ila ndio wakat muafaka wa kuipima timu yetu.
 
Baada ya ujio wa Patrick Phili na vuguvugu la usajiri, SIMBA SC leo wanajitupa uwanja wa Taifa.
Kwa updates pitia hapa
Najua munakwenda kuchezea kichapo. Sasa ngoja nikae mbali ili dam isini rukie
 
Ujinga kwenye tiketi, watu wanalangua tu. Ukijumlisha na folen ya tabata,buguruni,tazara, temeke huwezi kwenda uwanjani kama unakaa ubungo
 
Sasa mtoa mada unasema tukae hapa for updates. Hizo updates ziko wapi? Mbona unatuchomesha mahindi.
 
matokeo ni bila bila, mpira bado kipindi cha kwanza
 
Katavi jamaa yangu; unaogopa wakati timu ina viongozi, kocha na wachezaji lukuki wapya? Lete update bhana!
 
Back
Top Bottom