Recent content by MashaB

  1. MashaB

    Moja ya vitu vinavyosumbua akili ni kumiss kitu au mtu

    Nimemiss kuwa deep in love (serious relationship) ikiwa pamoja na kuambiwa nakupenda, kwenda out, kuletewa zawadi, kutumiwa msg za mara kwa mara kudiscuss na mwenza wangu kuhusu maisha na hata kufanya jambo la maendeleo na mwenza wangu kwa pamoja, UPWEKE MBAYA NA USINGLE MOTHER MBAYA ZAIDI
  2. MashaB

    Nahisi hanifai lakini nimeshindwa kumuacha

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  3. MashaB

    Nahisi hanifai lakini nimeshindwa kumuacha

    haki you made my day hahaaaaaaaaaaaaa
  4. MashaB

    Wahaya wengi ni wasomi lakini Kagera ni maskini kwanini?

    tatizo nyie ndo hamjielewi,
  5. MashaB

    Wahaya wengi ni wasomi lakini Kagera ni maskini kwanini?

    yoooo! Muhaya gani kalisaidia taifa? hebu amka unaota ndoto mbaya hahaaa
  6. MashaB

    Bukoba kuipiku Dubai kwa miundombinu kabla ya 2017

    Chonka bojooo.... waambie wazee wa masifa, alafu wanawaza manispaa yao kufanana na Dubai, yaani mpaka sasa Bukoba halijawa jiji wasukuma wamewatoa kamasi mwanza inapendeza balaaa
  7. MashaB

    Bukoba kuipiku Dubai kwa miundombinu kabla ya 2017

    kweli aiseeee Bukoba mjini hakuna kitu kama hicho na ghorofa la maana lipo moja na alijafikia hii kitu bt kutwa hawa ndugu zetu wanajidai na masifa ya kufa mtu
  8. MashaB

    Bukoba kuipiku Dubai kwa miundombinu kabla ya 2017

    wakati nyie majungu ndo yamewafanya hata kujenga stand imewashinda yaani roho mbaya na machuki binafsi kila siku ugomvi tu na kila mtu anataka awe mshindi mpaka mmepelekana mahakaman, wahaya hpana aiseeee
  9. MashaB

    Utajiri wa masharti ni mateso

    Duuuuuuuuuuuuuuuu hii kali
  10. MashaB

    Mpaka sasa sijaelewa nlichomkosea. Amenichanganya sana Wadau

    haki wewe ni mimi kabisa na si ngumi moja mzxuuuuuuuuuuuu
  11. MashaB

    ATM ya kwanza ya maziwa yazinduliwa Moshi Mjini

    yaani wewe ndo mjinga tena unaweza kutuambukiza humu, kunywa maziwa ni ufahari? huko shinyanga maziwa wanasongea ugali mbona watu hawafikirii hayo, wachaga wanajua kujiongeza na kubuni mbinu za kujikwamua kila kukicha, endeleeni na campaign za kujenga vyoo huko walishatokaga kitambo sanaaaa...
  12. MashaB

    ATM ya kwanza ya maziwa yazinduliwa Moshi Mjini

    Kwaaa kwaa kwakwaaaaaaaaa, haki u made my day! watu chuki zinawasumbua mtu akiweza kufanya jambo ambalo mwengine hawezi wala kulifikiria kulifanya anapaswa apongenzwe
  13. MashaB

    Nimejitahidi lakini nimeshindwa kumsamehe mke wangu mtarajiwa kwa hili

    Mh! Mbona kama kakuongopea, inaonesha binti hakuwa na bikra kabisaaa ukizingatia hukuwahi kumkagua kama kweli anayo, kwa fikra zangu naona ameona karibia mnafikia mpango wa ndoa ndo maana ameamua kukwambia ukweli ila kwa kutumia kisingizio cha mambo ya kiganga, huyo binti si mkweli na si...
  14. MashaB

    Msaada, naweza pata BP muda si mrefu

    kwikwikwiiiiiii
  15. MashaB

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Kwaaa kwaaa kwaaaaaaaaaaaaaa
Back
Top Bottom