Recent content by Masayi77

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ufisadi Escrow - PM, AG, Mawaziri, MPs, Viongozi wa Siasa Watajwa

    hatukubali hadi kieleweke,uwajibikaji kwanza,we want our money back
  2. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

    kamati ya pac tutaiunga mkono pamoja na tuhuma za kizushi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Samsung galaxy original zinauzwa

    guarantee
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete apongezwa kukutana na UKAWA

    pongezi haziwezi kwenda kwa kikwete Wakati amekaa kimya watu wanatafuna Kodi zetu zetu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nauza HTC one M8/ Samsung S4 Acive/ Sony Xperia Z2

    namba yako plse
  6. M

    JamiiForums Tanzania Samwel Sitta: UKAWA wakivimba kichwa,bmk itaangalia uwezekano wa kubadirisha sheria ya theluthimbili

    viongozi wa ccm wanaishiwa mbinu kila kukicha, watakaopitisha hiyo sheria isiyohitaji theluthi 2 ni akina nani? rasimu ya warioba kqanini wanaiogopa kiasi hiki? tupatieni katiba itakayobeba matakwa ya wananchi.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Nataka kurithiwa na rais kijana!

    kijana kama j makamba anaubavu wa kuwakemea rafiki wa baba yake? Mi nataka raisi anayejiheshimu,anapenda nchi,anayechukia rushwa na umasikini wa watanzania sitojali umri
  8. M

    JamiiForums Tanzania Galaxy s5..nimeingizwa cha kike

    s5 mfuniko una rubber ya kuzuia maji kuingia kwenye simu,flash ya camera rangi ya njano iko ndani sana na inang'aa,contrast ni nzuri kwa origianal. Fake haina rubber kwenye mfuniko wa betri,njano iko juu kwenye flash tena mpauko,contrast imepaukaa.pia kujua original install cpu-z itakuonyesha...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Samsung galaxy s4 32gb mint used inauzwa

    chukua 420000 ndg
  10. M

    JamiiForums Tanzania Samsung galaxy s4 32gb mint used inauzwa

    chukua 420000 ndg
  11. M

    JamiiForums Tanzania Latest smartphone in Tanzania

    x na xl zipo kila mahali bongo na bei ni 200000 na 350000 respectively
  12. M

    JamiiForums Tanzania Samsung galaxy note 3 brand new for sale

    unapatikana wapi? Weka namba yako
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nauza-Samsung Galaxy S5, Huawei Y300, Nokia Lumia 820

    nahitaji s5 ni original? Nipe namba yako
  14. M

    JamiiForums Tanzania used htc one for sale

    kula 450000,,niambie uko wapi
  15. M

    JamiiForums Tanzania Samsung Galaxy S4 (clone) nauza kwa laki 3

    ni clone ya china au korea?
Back
Top Bottom