Recent content by masatujr1985

  1. masatujr1985

    JWTZ kufanya msako katika misitu iliyopo mpakani mwa Tanzania na Msumbiji

    Kwa kuwa ni kazi iliyokuwa ya ndoto zangu, kila nisikiapp shughuli ya JWTZ nahisi kama ni mimi natekeleza jukumu la ulinzi wa Nchi yangu pendwa Tanzania. Kila la kheri JWTZ, Makamanda, na wapiganaji wote wa jeshi. Hamjawahi kutuangusha. Mungu awe nanyi.
  2. masatujr1985

    RC Mnyeti asema sheria inayoruhusu Mwalimu Mkuu kuchapa viboko ni "NONSENSE", awataka walimu kuipuuza

    Mwalimu mkuu akiondoka, huko kwenu hakuna anayekaimishwa ofisi? Hapa issue ni kuonesha power ama kushughulikia tabia mbaya na kuzirekebisha? Unadhani wanafunzi wakiamua kuonesha power kwa walimu, mtawamudu? Na kwa nini kuwe na power struggle kati ya mwalimu na mwanafunzi alhali ualimu ni kazi...
  3. masatujr1985

    RC Mnyeti asema sheria inayoruhusu Mwalimu Mkuu kuchapa viboko ni "NONSENSE", awataka walimu kuipuuza

    Kuna sheria ya mtoto ya mwaka 2009, 13 (1-3) inatamka kumlinda mtoto na vitendo vyovyote vya kikatili vinavyoweza kumsababishia maumivu ya kimwili na kihisia ikiwemo vipigo vitokanavyo na fimbo. Pia kuna muongozo wa utoaji wa adhabu za viboki mashuleni wa mwaka 2000 unatoa maelekezo kuwa mkuu wa...
  4. masatujr1985

    Kuna ulazima sheria kuhusu utumishi wa umma ibadilishwe

    Huyu jamaa juzi kaja na hoja ya kutoongeza mishahara na kutokulipa stahiki zingine kwa wafanyakazi. Sasa tena kaibuka na agenda MAVI ya ajira ukomo uwe 10 years. Yani at 33 mtu astaafu! Anajua kwamba vijana wanahitimu vyuo vikuu at the age of 23? Wenye stashahada wanahitimu na around 19-21? So...
  5. masatujr1985

    Rais Magufuli, haina haja ya kuongeza mshahara kwa watumishi wa Umma

    Nawe unakamilisha idadi ya watu 50M wa Tanzania? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. masatujr1985

    Kwanini Mzungu ' Akijamba ' huwa haoni Aibu na tena atabasamu, ila kwa Mswahili / Muafrika ama atanuna au atamsingizia mwingine?

    Hawa jamaa moja ya vitu wanafurahia wakifanya ni kujamba. Hawana shida kabisa na hilo. Yani kwenye train unabana pua kibongobongo hadi uaamua tu sasa ngoja niziachie[emoji3][emoji3][emoji3]
  7. masatujr1985

    Mkuu wa Wilaya ya Kilolo, Bi. Asia Msangi dharau zako kwa wananchi zinasikitisha

    Kiongozi yeyote hata awe nani, suala la kumpiga mtumishi haliwezi kuwa la kiungwana. Watumishi tunapaswa kutokuwa wanyonge. Akikutandika kofi, na wewe mnase. Acha sheria ifuate mkondo wake kwa kuchunguza ila akikupiga kibao, mtandike viwili vya nguvu hapohapo. Tusiwaendekeze. Huyu alipaswa...
  8. masatujr1985

    Gesi sasa kuuzwa kama mafuta

    Ni kwa nini miundombinu ya gas isisambazer majumbani, tukaondoa utitili wa haya ma mitungi? Kwani kuna shida hmgani system za usambazaji zikaenea majumbani mwa watu na tukalipia kwa mfumo kama wa umeme?
  9. masatujr1985

    Usumbufu na Harufu ya Rushwa kwa Watu wa Masijala na baadhi ya maafisa wa Manispaa ya Temeke

    Umeuliza vema. Sili. Weee kama unakula rushwa, acha. Na waambie unaowajua wanakula rushwa na kunyanyasa watu kijinga jinga ofisini, waache.
  10. masatujr1985

    Usumbufu na Harufu ya Rushwa kwa Watu wa Masijala na baadhi ya maafisa wa Manispaa ya Temeke

    Ninaandika kwa masikitiko juu ya usumbufu wa watendaji hasa watu wa ofisi za masijala za Manispaa ya Temeke. Tafadhalini sana acheni tabia zenu za kuzungusha watumishi wa kada mbalimbali wanaofika hapo kupata huduma. Haiwezekani mtumishi afike na kuzungushwa kuwa file lake halionekani kwa wiki...
  11. masatujr1985

    Air Tanzania na mabadiliko ya muda wa safari bila taarifa kwa wateja

    Sure mkuu. Na hapo nimelala Mwanza ili niwahi safari ya asubuhi. Si bora wangetuma ujumbe mapema jana nikalala nilikotoka na kuja asubuhi Mwanza! Quite unfair...halafu na watoto wadogo wanalala na kushangaa shangaa tu Airport hapa.
  12. masatujr1985

    Air Tanzania na mabadiliko ya muda wa safari bila taarifa kwa wateja

    Kwanza nitoe pongezi kwa serikali kufufua shirika hili la Ndege la Taifa. Baada ya pongezi, nieleze masikitiko juu ya utaratibu mbovu wa uahirishaji wa muda wa safari za abiria bila kutoa taarifa. Abiria wanaosafiri kutoka Mwanza, baadhi wanatoka mikoa ya jirani kama Mara, Simiyu, na...
  13. masatujr1985

    Ofisi na Watumishi wa Masijala

    Salaam wandugu, Naandika uzi huu kutoa dukuduku langu juu ya ofisi na watumishi wa masijala popote hapa nchini. Hizi ofisi zimekuwa na watu wasumbufu sana, wasiojali muda wa mtu na wanapenda kunyenyekewa! Katika kuelekea Tanzania ya viwanda, natoa rai kwa watu wa hizi ofisi wabadilike sana...
  14. masatujr1985

    Rais Magufuli Maduka ya kubadilishia fedha yalikuwa uchochoro wa kusafirisha fedha chafu

    Kwenye hili la ubadilishaji wa fedha Mh. Rais nakuunga mkono. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom