Kwanini Mzungu ' Akijamba ' huwa haoni Aibu na tena atabasamu, ila kwa Mswahili / Muafrika ama atanuna au atamsingizia mwingine?

Rejea zako tu Kichwa cha Habari kama unavyokiona hapo kisha anza zako Kutiririka na Kuserereka.

Nawasilisha.
Utafiti wangu unaniambia wanawake hawajambi kamwe public ni nadra ila ushuzi wa mwanamke utausikia

1.Akiwa anaosha vyombo
2.Akiwa anaoga
3.Baada ya kumdinya na c kabla
4.Akiwa anatembea
5.Akiwa anaendesha gari baiske au pkpk ila akiwa peke yake

NB:Mwanamke hajambi akishtushwa ila mwanaume anajamba mwanamke ana blid ila damu nyepesi!
 
Duh umenikumbusha mbali kuna rafiki yangu anaitwa Sean jamaa akijisikia kujamba huja katikati ya watu. Na huwachia kile kitu bila sauti hapo harufu tu halafu utawaona wazungu wenziwe wanacheka.🤣🤣 mwanzo nilikuwa nakasirika mwisho nikaanza kuwa kama wao😂😂


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Harufu ya ushuzi haina madhara kiafya, kikohozi au chafya ndiyo huwa vinaweza kudhuru walio karibu. Hiyo usishangae wenzetu hao akikohoa au akipiga chafya hara hara "excuse me" inatolewa lakini wakijamba huwa wanaishia kutabasamu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utafiti wangu unaniambia wanawake hawajambi kamwe public ni nadra ila ushuzi wa mwanamke utausikia

1.Akiwa anaosha vyombo
2.Akiwa anaoga
3.Baada ya kumdinya na c kabla
4.Akiwa anatembea
5.Akiwa anaendesha gari baiske au pkpk ila akiwa peke yake

NB:Mwanamke hajambi akishtushwa ila mwanaume anajamba mwanamke ana blid ila damu nyepesi!
Duuh
 
Hawa jamaa moja ya vitu wanafurahia wakifanya ni kujamba. Hawana shida kabisa na hilo. Yani kwenye train unabana pua kibongobongo hadi uaamua tu sasa ngoja niziachie
Duh umenikumbusha mbali kuna rafiki yangu anaitwa Sean jamaa akijisikia kujamba huja katikati ya watu. Na huwachia kile kitu bila sauti hapo harufu tu halafu utawaona wazungu wenziwe wanacheka. mwanzo nilikuwa nakasirika mwisho nikaanza kuwa kama wao


Ndukiiiii
 
Back
Top Bottom