Usumbufu na Harufu ya Rushwa kwa Watu wa Masijala na baadhi ya maafisa wa Manispaa ya Temeke

masatujr1985

JF-Expert Member
Oct 27, 2011
1,980
780
Ninaandika kwa masikitiko juu ya usumbufu wa watendaji hasa watu wa ofisi za masijala za Manispaa ya Temeke.

Tafadhalini sana acheni tabia zenu za kuzungusha watumishi wa kada mbalimbali wanaofika hapo kupata huduma. Haiwezekani mtumishi afike na kuzungushwa kuwa file lake halionekani kwa wiki 3 mfululizo.

Hii ni tabia ya kurudisha nyuma maendeleo ya nchi kwa kuwa watumishi wanalazimika kutumia muda wa kazi ili kupata document ambazo ingechukua si zaidi ya nusu saa!!! Muda wa kufanya kazi unapunguzwa kwa tabia chafu za ninyi watendaji waovu na wenye kutaka rushwa.

File linapo-move kutoka ofisi moja kwenda nyingine kiutaratibu linakuwa documented kwenye dispatch, kwa nini ionekane file halionekani ofisi zote alhali kwa muhusika mkuu linakuwa lilishatoka?

Hizo rushwa mnazozitaka toka kwa watumishi zitawatokea puani...tahadhari sana kwenu. Msilazimishe watu kuwa wabaya na kuwasababishia matatizo kwa rushwa za 10000 au 50000.

Hili ni andiko la onyo kwenu. Next time nitataja ofisi husika na watu husika mbali ya kuwapeleka TAKUKURU kwa ajili ya rushwa mnazozitafuta.

Muhanga wa ofisi hizi.
 
Wewe ofisini kwako huli rushwa? Malipo hapa hapa duniani
 
Mkuu wacha kulea mumiani 'kabila' hiyo.
Sakizia Takukuru iwadhalilishe akili ziwasogee!
Hawa wanaogeuza ofisi za umma vijiwe, mimi hata sina huruma nao. Kwanini wajenge mazingira ya kutengeneza rushwa maofisini badala ya kusaidia raia?
Hivi hawaoni mifano hai ya watu wanavyokuja kuadhirika na heshima zao kwa rushwa ya pesa ya mboga?
Una utu sana kwa kweli, mimi hapo kichwa kama siyo vichwa, tayari vingelikuwa vilshaliwa siku nyingi na watu washasahau.
 
Hili ni andiko la onyo kwenu. Next time nitataja ofisi husika na watu husika mbali ya kuwapeleka TAKUKURU kwa ajili ya rushwa mnazozitafuta.

Muhanga wa ofisi hizi.
Watanzania tunapenda sana kulalamika
Ushahidi wote unao,bado unawapa muda tu wazidi kukuumiza
 
Back
Top Bottom