Recent content by Masanja Maguzu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo fedha alizolipwa Ndugai ambazo hataki watu wajue lakini anatangaza za Lissu hadharani

    Kwahiyo alikuwa anaugua kikazi hadi alipwe posho? Kwahiyo lissu nae anataka kulamba padiem na kupangishiwa chumba chenye jim kwenye hotel ya nyota tano? No kabisa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Straight Talk Africa na Shaka Ssali: Tundu Lissu jino kwa jino na Balozi Wilson Masilingi

    TL watamchoka. Kwa sasa ni mgeni siku ya kwanza akifika ya kumi watamfurumua
  3. M

    JamiiForums Tanzania Irene Charles Isaka, Director General, Social Security Regulatory Authority

    CV ya chini sana. Alipataje kile cheo? Inabidi tumwombe Dr mkataza rushwa wa udsm achunguze
  4. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mtafiti Mwandamizi Dkt. Stella Nyanzi atimuliwa Chuo Kikuu Makerere

    Hivi hatuwezi tuma ujumbe Uganda kushawishi Dr Stella achiwe huru?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna nchi Afrika imewahi kumiliki ndege Aina ya Airbus 220-300?

    Ni ndege toleo jipya nasisi ndio tumenunua wa kwanza
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la vitambulisho vya Rais Magufuli naomba nitofautiane

    Naona hata nida id nazo tulipie elfu 20
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la vitambulisho vya Rais Magufuli naomba nitofautiane

    Matajiri kama sumri mzindakaya hao ndio walime wana nyenzo za kisasa na mtaji. Masikini alime kwa jembe la mkono? Acheni utani
  8. M

    JamiiForums Tanzania Utitiri wa kodi Tanzania

    Ukweli mfanyabiashara wa TZ ni wale walioshindwa shule waliofukuzwa kazi nyumba ndogo na wastaafu hapo unategemea nini?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Utitiri wa kodi Tanzania

    Hapo 70% ya wateja ni wazinzi na bado muroto anapitisha msako wa machangudoa. Yaani tangu kamatakamata ya machangu ianze kuna guest zinalala bila hata mteja mmoja
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la vitambulisho vya Rais Magufuli naomba nitofautiane

    Mkuu sasa hivi kuna TATA za mkopo basi jipya utapiga faini wapi?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nia aibu kwa Taifa lenye watu milioni 55 kuwa na walipa kodi milioni 2.2 pekee. Kenya ina watu milioni 46 na walipa kodi milioni 3.9

    Mie sijaelews nssf ina members 2m. Watumishi wa umma 2m. Jumla 4m wote wanalipa PAYE inakwenda wapi?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la vitambulisho vya Rais Magufuli naomba nitofautiane

    Huko aliko ununua haukulipiwa kodi? Ushindwe kukusanya kodi bandarini wakati uko kwenye kontena ukusanye kwa kukimbiza wananchi na mgambo siniusenge huo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la vitambulisho vya Rais Magufuli naomba nitofautiane

    Kwanza umekosoa na haujatoa ushauri nini kifanyike, hiyo degree yako ya DS haina maana. Machinga haendi dubai wala beijing kufata mzigo ananunua kariakoo na kumpelekea final consumer huo mzigo ushalipiwa kodi bandarini na kariakoo unataka na machinga alipe vat import duty etc huo ni ujinga wa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kikao cha Rais Magufuli na Mawaziri, Makatibu Wakuu, MaRCs, MaRAS na TRA

    Hatamie nasubiri jibu!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu Jakaya Kikwete akutana na Mchungaji Msigwa

    Hawa jamaa hata shetani anawaogopa. Hawa si ndio walimwita jk dhaifu na goigoi mpenda matanuzi na mla bata! Wakamwita vasco dagama, sasa kulikoni?
Back
Top Bottom