Kuna kitu kinashangaza sana kwenye siasa za Tanzania.Unakuta Mwanasiasa wa Tanzania ameharibu katika utendaji wake wa Kisiasa either Serikalini Mf Eddo alipojiuzuru Uwaziri Mkuu kutokana na Kashfa ya Richmond,Chenge Mzee wa Vijisenti na sasa ZZK aliyevuliwa nyadhifa zake zote za Uongozi ndani...
ndugu watanzania wenzangu [wanajf]hususani watumishi wa umma kuna baadhi ya rafiki zangu wa ccm wamekuwa mara kwa mara wakinishambulia kwa maneno na kunitishia kunichongea kwa wakubwa zao eti nifukuzwe kazi sababu mimi ni mwanachama wa chadema na sibarikiwi na siasa za ccm.nawaomba wasome...
Post yako ni nzuri dada joyce ila wanawake mnatakiwa mpambane na wanaume on fair ground kudhihirisha kuwa mnaweza.msisubiri mtengenezewe mazingira ya kubebwa.kubebwa kunawafanya mdharaulike zaidi.hebu angalia huu mfano mdogo eti kila jimbo la ubunge kuwe na nafasi ya mwanamke na mwanaume ili...
Profesa Baregu akiendelea na msimamo wake huo awe fired tu.Hapa suala sio kiwango cha elimu,umaarufu au chochote kile.Mtu yeyote anayebetray chama chetu chenye dhamira ya dhati ya kuwatetea Watanzania anawasaliti Watanzania pia awe fired tu.Inashangaza sana hadi Maprofesa wetu kupumbazwa kwa...
Ndugu Wanajamvi.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo[CHADEMA] Kata ya Nzega Mjini kitakuwa na Mkutano Mkubwa wa Hadhara katika viwanja vya Parking Nzega leo tarehe 04/05/2013 kuanzia saa tisa alasari.
Wazungumzaji wakuu watakuwa ni Mwenyekiti wa Wilaya ya Nzega OMARY OMARY,Mwenyekiti wa Wanawake...
Thanx kamanda basil lema kwa taarifa nzuri ila wakati wa kirusi kuvuliwa nyadhifa zake na kufukuzwa chama ndiyo huu. Tunahitaji makamanda wa kweli wataokuwa tayari kukipigania chama chetu hadi tone la mwisho la damu zao.kwani tukiendelea kufuga mwiba huu mguu utaota tende.big up kwa dr slaa...
Jamani wanachadema wenzangu tusipoteze muda kwa hoja dhaifu namna hii.bila shaka mawakala wa ccm ndani ya chadema tunawajua.mwanachadema makini lazima anajua kuwa jamaa mmoja kutoka k.g ni pandikizi la nguvu.limeshanunuliwa na mafisadi.naunga mkono kauli za mh freeman mbowe zaidi ya 100%
inaelekea wewe ndiyo mnafiki kwelikweli halafu sarakasi za kisiasa huzijui.unashabikia usilolijua.
Manen0 matamu siyo kitu.watu tunataka uwajibikaji.true leader must walk his/her talks.vp majina ya walioficha fedha u.swi.swi umeshatajiwa.tumechoka maigizo ya watu kujifanya wazalendo kumbe ndani...
Ujumbe ni mzuri ila pia watu waache unafiki.wanafanya ujinga wakiambiwa ukweli na hatua zikichukuliwa juu yao wanasema eti sababu ya dini yao.kuna watu wanajiona malaika hasa baadhi ya wanasiasa wetu.hawataki kukosolewa,wakikosolewa wanajificha kwenye mwamvuli wa udini.hawa ndiyo wadini...
Siku zote nasema uelewa mdogo wa siasa kwa watz wengi ni janga la kitaifa kwani baadhi ya wanasiasa uchwara wenye ubinafsi na kutaka misifa binafsi iliyopitiliza huku wakijifanya nje wazalendo wakati ndani ni vibaraka vya mafisadi wanaendelea kutuchezesha sarakasi zao zisizo na kichwa wala...
tatizo watanzania wengi hususan vijana wameweka pesa na tamaa ya mali mbele kuliko utu wa mwanadamu.wengi wanafikiri pesa ndiyo kila kitu ndiyo maana wengi wamekuwa wasaliti hadi kwa tshs 50,000/= wako tayari utu wao ununuliwe kwa pesa.pia wanafikiri kwenye siasa ni sehemu ya kutafuta ajira na...
Chadema taifa haiwezi kuwa vipande vipande kwa propaganda za kitoto namna hii.what is the validity of the letter!!!!!!!.any official letter must have a signature.kisheria barua hii inakosa uhalali.viongozi makini wa cdm hawawezi kucheza ngoma ya kitoto namna hii kutoka kwa magamba.kama ni kweli...
Taifa likijaa wanasiasa uchwara ni hatari sana.wanasiasa uchwara wana njaa ya kichwani.badala ya kujikita kutatua matatizo ya msingi ya wananchi kama afya,elimu,miundo mbinu.ardhi,ufisadi n.k. Wao wanakesha kutafuta mbinu za kudhoofisha upinzani.hata wafanyaje tutapigania mageuzi kwa gharama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.