Recent content by Masalu jr

  1. Masalu jr

    JamiiForums Tanzania Kinywaji "Double Kick" kinamaliza vijana

    Kumbe bora na shimha na kitoko
  2. Masalu jr

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumuwekea “teenager” TV chumbani kwake?

    Nitajie msomi mkubwa anaetokea mjini kati palipo na mativi ndani mwa vyumba vya watoto, ma dr,prof,eng wengi hutoka kusiko hata na radio,,sikia wakifa wanazikwa kwao wapi
  3. Masalu jr

    JamiiForums Tanzania Hiki ndiyo kitu bora kabisa unachopaswa kufanya wakati huu wa vita ya Urusi na Ukraine

    Umeupiga mwingi mkuu japo maelezo mengi saaaaaana
  4. Masalu jr

    JamiiForums Tanzania Aliye tayari tuwekeane dau katika vita ya UKRAINE na URUSI

    Aljazeera,bbc,voa etc ni tofauti kubwa na tbc kama unataka kuijumlisha tbc na hayo madude jaribu
  5. Masalu jr

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu apokea orodha ya majina 453 ya wananchi wa Ngorongoro waliokubali kuhama kwa hiyari yao

    Hao wamasai wakisubili pa kwenda wawaulize waliopisha mgodi wa ggm geita na ulyankulu naisi watafulai wenzao wapo kabisa paris ufaransa
  6. Masalu jr

    JamiiForums Tanzania Makonda alitoa wapi zaidi ya Sh. Bilioni moja kujenga nyumba binafsi. Je, mshahara wa Mkuu wa Mkoa kwa miaka 3 unatosha?

    Kweli humu jf hayupo wa kolomije city amsaidie mwananzengo wao??
  7. Masalu jr

    JamiiForums Tanzania Umetoka kwenye familia ya aina hii?

    Yaaani kaaawaida hakuna mchawi hapo na ukiona hivyo ndo ujue ukoo wako ni wa tz halisi
  8. Masalu jr

    JamiiForums Tanzania Nini sababu ya mimi kuona 11:11 mara kwa mara?

    Siku yako ya kufa
  9. Masalu jr

    JamiiForums Tanzania Vibaka wananisumbua sana mtaani, nifanyeje?

    Ushilikiano ni mzuri kwa wote mfano sisi tunachoma mototu hata juzi tumechoma mwizi ama kibaka akitorosha ng'ombe
  10. Masalu jr

    JamiiForums Tanzania Kuna hii taarifa ya mgomo wa mabasi Mtwara – Masasi, Mtwara – Lindi

    Hata sijaona jipya mama kashasema kwahiyo ikifika hata 55000 ni poa sana tena ntafulai alaa
  11. Masalu jr

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo naacha kula Samaki wa Mwanza

    Utakula wa wapi kusiko na taka tiririka za viwandani? Ukitaka kupinga tafiti fanya tafiti
  12. Masalu jr

    JamiiForums Tanzania Picha: Mfalme Zumaridi akionyesha namna alivyoumia kwa kipigo cha Polisi

    Hasira za nyakoro siro sasa kutoka kwa mwenyekiti hadi kwa mfalme ....siro makerubi vs mfalme makerubi
Back
Top Bottom