Nini sababu ya mimi kuona 11:11 mara kwa mara?

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
2,385
Reaction score
5,624
Hii ishu ina miaka kama sita hivi

Najikuta kuona hii number katika saa ya simu, saa ya redio,

Sijui kama ni brain yangu iko triggered ukifika muda huo ndio naangalia saa, ila huwa najikuta tu naangalia 11:11 katika hali ya kutotaka kuangalia kwamba muda ni saa ngapi.

Labda ni vigumu kunielewa, Mwenye uelewa mniambie kuhusiana na hii hali.

Da'Vinci na wengine karibuni.
 
Huenda ukiangalia unaona zingine ila imetokea 11:11 umeshaiona mara nyingi zaidi hivyo hata baada ya mwezi ukiiona tena itatrigger kwamba unaiona mara kwa mara tofauti na ukiona 10:30 utapotezea

Pia 11:11 au 12:34 ni namba zenye mfuatano hata kama umeziona mara kumi kwa miaka miwili lazima utakumbuka na kuona kwamba kuna maana fulani

Pia mfano kama unapitisha macho ukaona 12:45 utapotezea ila ukipitisha macho ukaona 12:34 utarudi na kuangalia zaidi na kuregister kwenye brain
 
Huenda ukiangalia unaona zingine ila imetokea 11:11 umeshaiona mara nyingi zaidi hivyo hata baada ya mwezi ukiiona tena itatrigger kwamba unaiona mara kwa mara tofauti na ukiona 10:30 utapotezea

Pia 11:11 au 12:34 ni namba zenye mfuatano hata kama umeziona mara kumi kwa miaka miwili lazima utakumbuka na kuona kwamba kuna maana fulani
Ahsante mkuu
 
Hii ishu ina miaka kama sita hivi

Najikuta kuona hii number katika saa ya simu, saa ya redio,

Sijui kama ni brain yangu iko triggered ukifika muda huo ndio naangalia saa, ila huwa najikuta tu naangalia 11:11 katika hali ya kutotaka kuangalia kwamba muda ni saa ngapi.

Labda ni vigumu kunielewa, Mwenye uelewa mniambie kuhusiana na hii hali.

Da'Vinci na wengine karibuni.
Hujasema huwa inakutokea nini ikiwa11:11njaa inakuuma!,unaenda sehemu!unaenda kuoga!nk.
 
Mi nina ugonjwa wa kusoma plate namba za magari, yaani nikiona gari bila kusoma plate namba huwa sipati raha.

Kuna vitu unaweza kuviona visiregister kwenye brain ila kama vina maana fulani vina-trigger brain na recognition mfano ukitembea sio kwamba watu huwaoni ila macho yakipiga kwenye mtu unayemjua brain itaelekeza ufahamu hapo na uta-concentrate...,

Kuna looking without seeing
 
Hii ishu ina miaka kama sita hivi

Najikuta kuona hii number katika saa ya simu, saa ya redio,

Sijui kama ni brain yangu iko triggered ukifika muda huo ndio naangalia saa, ila huwa najikuta tu naangalia 11:11 katika hali ya kutotaka kuangalia kwamba muda ni saa ngapi.

Labda ni vigumu kunielewa, Mwenye uelewa mniambie kuhusiana na hii hali.

Da'Vinci na wengine karibuni.

Yeremia : 11 : 11 - Basi, Bwana asema hivi, Tazama, nitaleta mabaya juu yao, ambayo hawataweza kuyakimbia; nao watanililia, walakini sitawasikiliza.

Kuna ujumbe unapewa
 
Una bahati sana kutokewa na jambo hilo la kila mara kuona 1.
Hii ishu ina miaka kama sita hivi

Najikuta kuona hii number katika saa ya simu, saa ya redio,

Sijui kama ni brain yangu iko triggered ukifika muda huo ndio naangalia saa, ila huwa najikuta tu naangalia 11:11 katika hali ya kutotaka kuangalia kwamba muda ni saa ngapi.

Labda ni vigumu kunielewa, Mwenye uelewa mniambie kuhusiana na hii hali.

Da'Vinci na wengine karibuni.
Una bahati sana. Kama wewe ni Muslim au siyo Muslim, hiyo ni Kur'an Tukufu Sura ya 11 (Hud) verse 11 na unapata: 11:11 "Ila wale walio subiri wakatenda mema. Hao watapata msamaha na ujira mkubwa". Bila kujali wewe ni Muslim au la, jua kuwa Holly Quran is the last testament na ni kwa watu wote. Have good time.
 
Yeremia : 11 : 11 - Basi, Bwana asema hivi, Tazama, nitaleta mabaya juu yao, ambayo hawataweza kuyakimbia; nao watanililia, walakini sitawasikiliza.

Kuna ujumbe unapewa
Hiyo ni Kur'an Tukufu Sura ya 11 (Hud) verse 11 na unapata: 11:11 "Ila wale walio subiri wakatenda mema. Hao watapata msamaha na ujira mkubwa". Bila kujali wewe ni Muslim au la, jua kuwa Holly Quran is the last testament na ni kwa watu wote. Have good time.
 
Mkuuu Financial Analyst we shida ako nawezaa probe kidogo kutoka huku nilipo; underground base on dark side of the moon.
Wewe nazani shida imeanza kwenye brain cell ambazo zimeundergo quantum entanglement with physical reality hivyo kusababisha kuvibrate katika frequency zinazoshabiana na hiyo number kuwa makin sana. Usipozingatia utaanza kubroadcast hizo frequency afu watakukamata wakufungie mbali ... Kama mimi
 
Daah mkuu..
Elaborate boss..
 
Back
Top Bottom