mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,749
- 7,857
- Thread starter
- #21
Ualimu bhana! Mimi mhandisi mkuu!Vp na wewe na elimu yako ya chuo umerithi kazi ya baba yako ya ulinzi?
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Ualimu bhana! Mimi mhandisi mkuu!Vp na wewe na elimu yako ya chuo umerithi kazi ya baba yako ya ulinzi?
AhsanteFamilia yenu haina laana la muhimu uhai na kushukuru hamjawah kulala njaa.
Shirikiana na ndugu zako na wala usijione bora kuliko wao.
Unaniogopesha mno, ila mimi sihusiki.Kwa jicho langu naona laana inayokutafuna ni ile ya babu yenu kuua kwa risasi na kukimbia toka Mozambique. Fate huwa haikimbiwi.
Laaana ufata vizazi hadi vizazi.
wewe ndio masia.
Bosses salute! Je, hili liliathiri mahusiano yako? Naenda moja kwa moja kwenye mada. Binafsi mzee alikuwa mwalimu wa shule ya msingi. Narudi nyuma kidogo...
Mzee alizaliwa Mozambique, Maputo. Wazee wake walihamia TZ mzee akiwa anajifunza kutembea miaka ya 60. Sababu ya kuhama ni baba yake kukimbia revenge kutoka kwa folks wa mtu aliyempiga risasi. Alikuwa askari. Watoto wote tulizaliwa hapa TZ.
Tuendelee...
Mzee alikuwa mwalimu, ila hakudumu kwani aliacha kazi mwenyewe kwa hiari yake, baada ya kumpiga kichwa mkuu wake wa shule, so kesi ilikuwa kubwa akaona mambo yasiwe mengi.
Pamoja na hayo, wakati anaacha kazi hakuwa na hata nyumba, akaanza kufanya kazi za ulinzi kutoka kwenye makampuni mbali mbali.
Kifupi mimi ndio nimefanikiwa kufika advance mpaka chuo kikuu, kwenye familia yetu. Kaka zangu wote 2 waliishia std 7 na walikataa kuendelea na shule japo mzee alikuwa na vihela vya kuwasomesha..
Dada zangu wote, hakuna aliyevuka form 4. Hatuna njaa, hatujawahi kulala njaa ila hili la familia yetu msomi mkubwa kuwa mimi tu linanikosesha raha sana.
Najiuliza mengi. Je, familia imerogwa? Kwa nini mimi peke yangu ndio nilisoma chuo kikuu?
Najiuliza sana.! Karibuni ndugu zangu tutiririke.
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
AhsanteShukuru Mungu..achana na kujihoji..kikubwa kua humble
So ni bahati mbaya sio? Ndivyo ilivyopangwa? Na nani?Una bahati mbaya tu kuzaliwa kwenye hiyo familia, hakuna laana.
TZ halisi? Kivipi?Yaaani kaaawaida hakuna mchawi hapo na ukiona hivyo ndo ujue ukoo wako ni wa tz halisi
Laana iache kumtafuna aliyeua ije kumtafuna mjukuu?? Acheni imani za kijingaKwa jicho langu naona laana inayokutafuna ni ile ya babu yenu kuua kwa risasi na kukimbia toka Mozambique. Fate huwa haikimbiwi.
Kweli kila kitu katika hii dunia ni programmedFamilia nyingi zipo hivyo, kuna mmoja au wawili huwa kama wabeba nyota wa familia...
Wengi waliishia form 4? Kweli dunia hii ina mwenyewe, sio bure.Mkuu kwetu tupo 11 mimi tu ndio nimeweza kuvuka kidato cha nne, na aliyefanikiwa hadi sasa ni wawili tu ambao waliishia darasala saba