Recent content by masalu gusessa

  1. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jana wamepatia 7:7 na nilikula pesa
  2. M

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Jamani tusubirini mechi ya hull city ambayo nayo mara nyingi ni kasheshe kwa chelsea ingawa huwa amashinda hivyo hivyo, jana Cahil alimwaga mboga sachez hakujali akahakikisha na ugali hapati so ni marekebisho yanahitajika ili timu iwe solid Pia falsafa za mpira wa kiitaliano zinahitaji muda...
  3. M

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Halafu pia ukuta wa chelsea sasa hivi ukiwa ontarget tuu umo wavuni, angalia mechi ya liverpool, swansea,leicester na ya jana attempt chache lakini zikiwa on target coutour anachukua mpira wavuni
  4. M

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kaka utasema yote hayo sababu tumefungwa, ukweli ni kwamba jana arsenal walijua fika kuwa chelsea wanakocha asiyeijua emirate so kilichofuata ni kumsurprise jamaa walikuwa very aggressive and very sharp ni kukimbia kila kona ulipo mpira hawakuwa na shida ya possession kabisa wakiupata ni mbio...
  5. M

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kufungwa sio mwisho wa dunia na tatizo la chelsea ni kukosa kiongozi kwenye back line, maana beki imekuwa urojo kama ya under 20 daaah
  6. M

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Cahil ndo katinyanga kila kitu, ukiruhusu goli muda kama ule emirate unakuwa unataka nn??
  7. M

    Wanaume Tusilalamike kupungukiwa nguvu za kulima!

    sorry ulishaona wapi bidhaa inauzwa pasipo na soko??? So tatizo lipo na ndo maana watu wanahangaika kupata ufumbuzi, pia kuna tofauti kati ya kupungukiwa nguvu za kiume na kutokuwa na nguvu za kiume. Hapa tunaongelea kupungua kwa nguvu, yaani mtu muda wa mechi mashine ni tia maji tia maji
  8. M

    Swali: Ulianza vipi kupiga punyeto?

    Mkuu haka kamchezo ukiingia umeingia, hisia zikija utumishi pembeni yaani ni raha yenye hatari, tunaiita ngumu kumeza lakini utameza tuuu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  9. M

    Swali: Ulianza vipi kupiga punyeto?

    Ooooh kumbe utapunguza tuu addiction lakini kautamu kama kawa, sisi tunataka kuacha kabisa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  10. M

    Hizi Sunglasses Ni Za Bei Mbaya

    Kweli bei mbaya[emoji2] [emoji2]
  11. M

    Punyeto zinawaharibu vijana sana, wamekuwa wadhaifu sana kitandani

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huko ni kupekecha bro hahahhh
Back
Top Bottom