Recent content by Masalika

  1. M

    JamiiForums Tanzania G. Lema anaongoza vurugu muda huu katika kituo cha kupiga kura Osterbay Arusha

    Wewe ni mwizi km walivyo ccm inaonekana ni mmoja kati ya watu wanaoujumu laslimali za Taifa letu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo: Shilingi inayochezewa tunduni mwa choo

    Aende zake hatumtaki Muongo mwizi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe kuhudhuria kikao cha UKAWA wakati huu ni udhaifu mkubwa

    Mtoa hoja apimwe akili au ? Naomba ushauri zitto aligusia maslahi ya jambo lenye maslahi kwa taifa na akazungumzia jinsi watu wa chama chake walivyoona ukubwa hoja alioiwasilisha na kuweka tofauti zao pembeni kwa maslahi ya. Wananchi was Tz kwani hao...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Livingstone Lusinde,ni kweli mbumbumbu au huwa anajichetua tu?

    Marazote nimekua nikiwaona wabunge viraza kama kina LUSINDE Ndani ya chama cha CCM! Je, watanzania tuamini kwamba viongozi wajinga na wa pumbavu kama kina hawa ndio chaguo la wana CCM na hilo li chama lao?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Swali: Zitto ni kweli ulichukua pesa kwa seth

    Lusinde ni gari bovu linalotumika kuaribu hewa anakili watu. Wanachangishwa mchango wa maabara lakini anaharalisha wanaokula pesa za nchi wapo sahihi analopoka Zitto kuchukua. Pesa wakati taarifa ya C A G Takukuru. Zote hazimtaji Zitto kuhusika na wizi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Swali: Zitto ni kweli ulichukua pesa kwa seth

    Lusinde mchekeshaji tu hana lolote Fedha zote zilizotoka zimekaguliwa na kupitia kwenye miamala ya bank ndo kujulikana. Waliochukua pesa sasa. Yeye lusinde anaongea kuchekesha bunge amesema mbele ya bunge kwamba zitto aliwai kumpa 150.000 je nazo ni lushwa ...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Serikali (Wizara ya Nishati na Madini) kuhusu ripoti ya PAC juu ya Tegeta Escrow Account

    Muhongo kaongope. Mbele ya. Safari
  8. M

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Serikali (Wizara ya Nishati na Madini) kuhusu ripoti ya PAC juu ya Tegeta Escrow Account

    Pinda Werema Tibaijuka na wenzenu kwaelini mliyotuzulumu yanatosha.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Majumuisho ya vikao vya Baraza la Mawaziri na vikao vya CCM Dodoma juu ya Escrow

    Hao ndo Ccm wetu tuliowazoea kwa wizi na ufisadi mkubwa ndani ya nchi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hali yazidi kuwa tete escrow, hapatoshi Dodoma

    Wana jamvi Naomba mnitumie timu inayoongoza. ya PAC pamoja na elimu zao
  11. M

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kiukweli nimekerwa na utoaji wenu wa mikopo kwa wajasiliamali, Cz wajasilia malimali wa Vijijini hamja wathamini kabisa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Prof Lipumba aizika ccm rasmi Lindi

    Ccm kwishaaaaa. !!!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa Serikali ya CCM kuhujumu upinzani serikali za mitaa huu hapa

    Ccm kwishaaaaaa. !!!!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Willbrord Slaa Ni kiongozi ambae ameweza amethubutu kutoka azarani na kuzivumbua shida za. Watanzania na kueleza shida kero na matatizo yaliojificha yanayowakabili Watanzania Kitu ambacho. Lowasa atokiweza kwa sababu tayari ana Kashfa nyingi za. Ufisadi Kwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Jina la CCM: Mbunge wa Mtera Lusinde aporomosha matusi Arumeru kumwombea kura Siyoi

    Lusinde punguani nyie amjui
Back
Top Bottom