Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,057
Hayo ya Zitto tuweke pending, issue hapa ni escrow tu.....tatizo livingston ba...n..gi
Lusinde amesema bungeni kuwa Zitto alipewa rushwa mara kadhaa na singasinga huyu seth.. Kwa nn Zitto hakuomba nafasi kwa mwenyekiti wa bunge Zungu, ili akanushe taarifa ile..
Je! ni kweli Zitto ulichukua rushwa kutoka kwa seth ?
Ukweli unaupinga eeh..
la zitto liwekwe pending kwasababu gani..? km kahongwa na Seth ajadiliwe 2
Mbungemmuhimu wawe wawekisheriia bila degree waisikie Dodoma
Kwanza kakiri ajaendashule .atukuitaji sababu
Kukiri anaufahamu mdogo anamwomba CAG ajekuwajuzapesa ni za umma amalah
Baada ya dk 5anasema anashangaa iweje CAG anauwezo wa kuaudit Pesa zisizo za umma
Unajiuliza. huyuhuyu popompo kaomba CAG aje aelekezwe iweje anasemapesa Si zaummaa
Shule shule