Hali yazidi kuwa tete escrow, hapatoshi Dodoma

Hali yazidi kuwa tete escrow, hapatoshi Dodoma

Hii habari ukiisoma hasa nusu ya kwanza, halafu irudie tena kama unaajua taratibu za kibunge haimake sense kabisa yani ni kama mwandishi kaandikiwa au kapewa cha kuandika lakini yeye hajui anachoandika.
 
Kikubwa niachoona kwenye taarifa kwanza imedikwa kishabiki na mwandisi hatoi mwelekeo. Je kama wanachofanya kina Zitto ni usabiki, unamaanisha hakuna fedha zilizoibwa? wewe binafsi umeridhika na mazingira yake? Kwa namna moja au nyingine taaifa yako hii inadhalilisha bunge kama muhimili na wabunge wenyewe. Je wajube wa PAC wanataka kuwageuka kina Zitto kwa kuwa tu wanatajwa sana na hivyo kuwa maarufu? kama unavyotaka tuamini, je uzalendo wao uko wapi IPTL AU. Kama wabunge wanajua hii kitu ni maslahi kwa nini waliacha kipindi chote hicho fedha za wananchi zikatumika kuandaa taarifa zote za TAKUKURU na CAG? Hauoni kuwa unatuaminisha kuwa wabunge ndicho chanzo kikubwa cha umaskini wetu? je wewe na unaowawakilisha unaridhika na uhusiano wa IPTL na TANESCO hadi leo?unakubali kuwa IPTL inakwamisha miradi mizuri ya umeme ili waendelee kuwanyonya? hiyo nayo ni chuki? Kimsingi ushabiki wa nini, hata kama itabainika hapakuwa na ukiukwaji wowote si umma utaridhika kuwa yaliyosema yalikuwa siyo ya kweli na mahusiano yetu na development partners yatarudi kawaida? why are we looking for a winner/winners and loosers? acha kuiharibu nchi yetu kwa maslahi yako na ubinafsi wako. Acha taarifa ijadiliwe kila moja aridhike, au unataka iachwe bila kujadiliwa kwa kuwa wewe umemaliza uchambuzi?
 
‘’Ni kweli kila mtu atavuna alichopanda, kama wanataka kutugeuza wabunge wote ni ‘Rubber stamp’ tuhalalishe hukumu inayotokana na hasira zao za kunyimwa mgao, basi wamegonga mwamba’’.
Alisema mmoja wa wabunge hao anayetokea chama kimoja cha upinzani akijibu kauli ya Makamu Mwenyekiti wa PAC, Deo Filikunjombe aliyenukuliwa na gazeti moja hivi karibuni.

Hivi karibuni Filikunjombe, alisema katika gazeti hilo, kwamba kila mtu atavuna alichopanda katika sakata hilo, baada ya kupokea ripoti ya CAG kutoka kwa Naibu Spika, Job Ndugai.

Ripoti nyeupe, Zitto kapiga mpunga, anashindwa namna ya kuchomoka ndio maana kaanza kusema watahoji wahusika nyuma ya pazia sababu anajua hakuna mtuhumiwa kama alivyokuwa akijitamba.

Hayo yote tisa. Kumi ni je cag kasema nini kuhusu pesa zilizoliwa? Ni za serikali au ni za IPTL? Basi tuache mihemko tusubiri yatokanayo.
 
Mzee umefauru chuo cha matusi! Hongera sana. Ni wazi umepanic kamanda. Endelea kutukana lakini, labda inakupa faraja.

Baada ya kupokea ripoti hiyo, Zitto akihojiwa na waandishi wa habari, alisema wa kwanza kuhojiwa na kamati yake atakuwa ni CAG.Zitto alisema kwamba na kwamba kamati itafanya kazi iliyokabidhiwa na Ofisi ya Spika kwa siri.

Alisema watafanya kazi hiyo kwa siri kwa kuwa ndani ya suala hilo kuna mambo ya mahakama, hivyo wanaepuka kuingia katika malalamiko hapo baadaye ya mtu kuonewa na kwamba, watahakikisha wanatenda haki.

Chanzo: Nipashe.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/759870-zitto-watuhumiwa-escrow-kuhojiwa-kwa-siri.html

Kwa jinsi uongozi wanchi yetu ulivyooza,nikiona jitihada za watu wenye kujitoa muhanga zikibezwa kwa hoja zenye kuonesha wazi zina harufu ya maslahi binafsi natumia silaha yoyote mzee kwa mahayani na wazandiki kama wewe, hapo sina msamaha, ukicheka na nyani utavuna mabua. Umefika muda wa kulipigania taifa letu kwa gharama yeyote badala ya kuchekea watu wenye kuvuruga kamsingi kanakoanza kujijenga,@#$%&* wee! toka hapa
 
Kaka hautakiwi kutumia matusi kwenye issue ya kulitetea TAIFA lako,hoja tu yenye nguvu itamfanya mtu ajione MPUMBAVU,na kumbuka wengi wanaotetea UFISADI kumbuka kwa namna moja ama nyingine ni wanufaikaji wakubwa wa UFISADI na RUSHWA iliyokithiri.

Ninajiuliza hivi kweli RAIS wangu anapiga vita UFISADI na RUSHWA?Je anonekana kuwa anapigana vita hii?Nitasema kwa sauti kubwa HAPIGANI vita hii sababu na yeye ni mnufaikaji kwenye haya tunayoyaona.ALitakiwa kama RAIS kukemea kabla halijatokea,na alitakiwa kuwawajibisha watu wake kabla halijaenda mbali zaidi ya hapo,hakutakiwa kuwafunga midomo majaji.

Kwa sasa anatakiwa kuwafukuza kazi majaji wote waliopokea rushwa hii hata kama wanaurafiki naye wakaribu kwa kiasi gani,kitu ambacho najua hatafanya na wala hataweza kukifanya na hawezi kukifanya sababu anafaidika nacho,aliingia kwa rushwa na waliomuingiza ndiyo hawa wanaoendelea kuhujumu TANZANIA na hawezi kuwakemea eti NCHI itayumba.

Sina uhakika kama bado imesimama na haijayumba.
 
Haihihitaji ujue kusoma wakati picha tu inaonekana. Wapo viongozi wenye angalau na wakisimamia mambo yanaonekana, wapo na hawaachi kujitoa hadharani. Wanafiki, waongo, wezi na wazandiki wanajificha hawataki majina yao yatoke hadharani. Viongozi bila kujali chama wapo walaji, wezi na wazandiki. Tofauti yao vyama lakini ulaji wao uko sawa. Wakijitokeza wachache ambao wanchokifanya kinaonekana kwa macho dhahiri kwa nini tuwakatishe tamaa? Mara ya kwanza ilisemwa Zito na Kafulila wamechemka wanachokidai si cha kweli, wameumbuka. Leo eti wamehongwa, kama wamehongwa kwa nini basi wahongwe au wamenyimwa hongo je hongo ilikuwa ya nini kama wanavhokisema si kweli. Kama walinyimwa hongo wakaamua kusema ukweli kuna tatizo gani hapo? Hivi unajua nchi hii inaendeshwa kwa misaada? Masikini wana taabika kwa sababu misaada imezuiwa. Ulitakiwa ujue toka awali nani yupo serious na nani anaishi ili ale. Tumefika wakati mbaya sana, wananchi wamechoka, wamekata tamaa, wanawafahamu wezi wao, wana hasira nao. Kama alivyosema Kangi Lugola hakuna muda tena wa kuwabembeleza na maneno ya staha na pia hakuna kumpa nafasi mtu anayetaka kubadili upepo kwa manufaa ya wezi. Period.
 
Kaka ninakuelewa,na nina kusupport kwa asilimia zote.Nipo pamoja nawe pia,huwezi kumuhonga mtu kama akisemacho hakina ukweli,ni kweli kabisa,ni sawa na kusema hauumwi lakini kila siku upo hospitali na kunywa dawa zisizo na idadi,na ukweli ni kuwa VIONGOZI wetu wanaumwa,sana tu lakini wanatuficha,mbaya zaidi tumejua wanaumwa bila kujali chama gani kiongozi anatoka.

Kama haumwi kwa nini anywe dawa?Hapo ndipo swali ambalo wenzetu wabunge na wanaCCM wanaoitetea sakata la IPTL kujiuliza,kama pesa si za UMMA kwa nini wapite KUHONGA kila mtu?Kama si kweli kwanini watake kuwahonga PAC,kama si za UMMA.

Wazee walisema....Mwenye macho haambiwi tazama.Tulipofika leo kama TAIFA wa kwanza anayetakiwa kutuomba radhi watanzania tuliompa nafasi ya kutuongoza kama mkuu wa Nchi ni rais,atuambie ameshindwa na ameamua kubwaga manyanga,ngoma imekuwa ngumu kuicheza.

Aturejeshee ngoma yetu tumpe mwingine aipige,ameshindwa kuwaambia aliowateua mmeniangusha na kuliangusha TAIFA,hivyo stahili yake aanze kujinyonga mwenyewe.Atupatie tu barua ya kutuomba radhi kisha ateme ugali tuliompa.:sick::confused2:
 
Hayo yote tisa. Kumi ni je cag kasema nini kuhusu pesa zilizoliwa? Ni za serikali au ni za IPTL? Basi tuache mihemko tusubiri yatokanayo.

Yes! Mkuu nimekusoma sana, tusubiri ufafanuzi huu kutoka kwenye ripoti, wengi hawafahamu ukweli siyo tu watanzania wa kawaida hata wabunge pia. ripoti ikiwekwa wazi bungeni mengi tutayafahamu, na ndio utakuwa ukweli.
 
[h=2]Saturday, 22 November 2014[/h] [h=3]SAKATA LA ESCROW BUNGE KULIPUKA[/h]
SAKATA la akaunti ya Escrow limezidi kuchukua sura mpya, baada ya kuibuka mambo mazito ikiwemo taarifa za baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) kudaiwa kuchukua rushwa kwa kampuni ya Independet Power Limited (IPTL).

Taarifa hiyo imekuja wakati ripoti ya uchunguzi wa akaunti hiyo ikitarajia kusomwa ndani ya bunge, ambapo imeelezwa kuwepo kwa makelele mengi ndani ya bunge kunatokana na baadhi ya wabunge kukosa mgawo wa fedha na wengine na wao kuchukua rushwa.

Nyaraka za malipo, ambazo gazeti hili ilizipata ambazo zinamuhusisha mtumishi wa bunge ambaye ni mmoja wa makatibu wa kamati ya PAC, Beatus Malima na wakili wa Mwenyekiti wa PAC, Zitto Kabwe aitwaye Alberto Msando, ambao walichukua milioni 10 kila mmoja kwa nyakati tofauti na kuzipeleka kwa wajumbe PAC ili waandae Ripoti itakayoonyesha kwamba kwenye IPTL haina Tatizo.

Katika vocha ya malipo iliyotoka PAP inamuonyesha April 8, 2014 Wakili Msando alipokea sh. milioni 10 kwa ajili PAC na Zitto kuandaa majibu ya malalamiko ya kampuni ya MECHMAR dhidi ya IPTL/PAP kazi ambayo inasemekana zitto aliifanya Machi 28, mwaka huu.

Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba tarehe hiyo, mtumishi wa bunge anayefanya kazi na Kamati ya PAC, Beatus Malima naye alichukua kiasi kama hicho cha fedha kwa kazi hiyo hiyo

Msando alitambulishwa na Zitto kwa uongozi wa IPTL/PAP kama mshauri wake wa kisheria na mwanasheria hivyo chochote atakachowaambia ni maagizo kutoka kwake, ambapo Zitto alimtambulisha kwa Mwenyekiti Mtendaji wa PAP, Harbinder Sethi baada ya kikao kirefu walichokifanya yeye na zitto kabla ya Mwenyekiti huyo wa PAC hajasafiri kwenda India kwenye matibabu ya marehemu mama yake, siku chache kabla ya malipo haya hayajafanyika.

Mmoja wa wabunge, ambaye hakupenda kutaja jina lake, alisema hili suala lina makandomakando mengi na wala si hayo yanayozungumzwa kwa kuwa PAP waliipata IPTL kwa kufuata taratibu zote kisheria pamoja na malipo waliyopewa katika akaunti ya Escrow yalikuwa halali kwao.

Taarifa hizo zilionyesha kuwa wakili huyo na mtumishi huyo waliendelea na utaratibu wa kuwa wanachukua pesa IPTL kwa sababu mbalimbali na mwishowe kuwapa maagizo kwamba itabidi PAC walipwe kiasi cha billioni 1.5 ili wazuie mjadala uliotarajia kuibuliwa kipindi hicho kuhusu sakata hilo.

"Hawa jamaa wanaonewa kwa kuwa kuna kundi kubwa la wafanyabiashara nyumba ya IPTL, ambao waliitaka kampuni hii lakini wameshindwa. Hawa hawana makosa yeyote na kinachofanyika ni kuwaonea na mvutano uliopo kwa wale waliokosa mshiko wao ndio wanatumiwa,''alisema mbunge huyo.

Mbunge huyo, alisema "hebu fikiria, kama wangepewa hizo pesa walizoomba, je IPTL ingekuwa halali leo machoni mwao?, kwanini wawatese watu wasio na hatia kwa uroho na njaa zao binafsi?, ninakuhakikishia safari hii hatutakubali bunge kutumiwa kama kichaka cha watu kutimiza matakwa yao ya kisiasa baada ya kukosa hongo walizoomba" alisema.

Hivyo, alisema wabunge wengi wamejiandaa kueleza ukweli ndani ya bunge pamoja na kutoa mawasiliano ya simu kati ya wajumbe wa PAC na baadhi ya wabunge kuwaomba wawape nguvu katika suala hilo, pamoja na mawasiliano ya fedha kwa viongozi wa PAP yalivyokuwa yakifanyika.

attachment.php

attachment.php

HABARI MOTO: SAKATA LA ESCROW BUNGE KULIPUKA

SOURCE GAZETI UHURU, JAMII FORUMS
 
Nasubiri hiyo kesho watu watakavyo umbuana. Fedha za escrow account na stahiki halali ya IPTL.
 
Back
Top Bottom