Recent content by masalia

  1. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli, korosho zitakuondoa Ikulu! Wacha mchezo na watu wa Kusini

    Mungu ameshakupa uwezo wa kuelewa. Jukumu la kutenda ni lako
  2. M

    JamiiForums Tanzania Cartoon: Marais EA na funzo toka Egypt

    Katika katuni iliochorwa na wachoraji maarufu wa katuni za Kisiasa Afrika mashariki GADO CARTOONS imemuonesha JK kama mtu anaetegemea misaada kwenye kila jambo. Katuni iyo inayolenga kuonesha ni somo gani viongozi wa Afrika Mashariki wamejifunza kutokana yaliyojiri Misri (Egypt), jionee...
  3. M

    JamiiForums Tanzania NewYork Times: Violent Episodes Grow in Tanzania, an African Haven

    ​Katika Taarifa iliyotolewa na Gazeti la New York Times la Marekani Dr Ulimboka, Dr Slaa, Jenelari Ulimwengu, na Kinana wamezungumza na kunukuliwa kwenye maswala kadhaa ya kisiasa, usalama na amani ya Tanzania Futatila mwenyewe hapa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Muswada wa fedha: Kamati ya bajeti imebariki wananchi kubebeswa mzigo mkubwa kodi

    Katika taarifa iliyosomwa na Mh. Ntemi Chenge (MB) (Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti) pamoja na mambo mengine amesema waliowasilisha majedwali ya mabadiliko kwenye sheria ya fedha walishindwa kutoa vyanzo mbadala vya mapato ya Serikali. Sio kweli kwamba wote waliofanya hivyo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu na Komba waharibu kura uchaguzi wa SADC bungeni

    Spika makinda amewashangaa Komba na Mwigulu ambao ni wahesihimiwa wabunge, Wameandika majina yao wenyewe badala ya kuweka tick, wameweka tick na majina yao. My take: hawa ndio CCM makini wanao aminiwa na Chama.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya kambi ya upinzani, wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi

    TANZAMA PIA KIAMBATANISHO CHA MADAI HALISI YA WALIMU, (ATTACHED) HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI MHE. SUSAN ANSELM JEROME LYIMO (MB), KUHUSU MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA 2012/2013 NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KATIKA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI KATIKA MWAKA WA...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imesema haifanyi kazi kwa maoni ya wananchi

    Updates:Serikali aina majibu ya hoja za upinzani. Waziri Mbarawa nae kasema hawezi kujibu hoja zote za upinzani, amechagua baadhi tu!:target:
  8. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imesema haifanyi kazi kwa maoni ya wananchi

    Akijibu hotuba ya Upinzani ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Bungeni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Januari Makamba amesema wao Serikali hawafanyi kazi kwa maoni ya upinzani,hila mipango ya chama chao. Hii ni kufuatia hotuba ya kambi ya upinzani kusema kuna maswala ambayo kambi rasmi ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya kambi ya upinzani wizara ya mawasiliano, sayansi na teknolojia

    HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI MHESHIMIWA SUSAN JEROME LYIMO (MB) KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KATIKA WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KWA MWAKA WA FEDHA 2013/2014 Mheshimiwa Spika, napenda kuchukua nafasi hii kwa mujibu wa Kanuni ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vurugu kati ya CHADEMA na CUF juu ya USHOGA zasababisha Bunge kuahirishwa

    CUF walijipanga kuwaita CHADEMA mashoga huko Mtwara wakati wa M4C ziara ya CHADEMA. Please follow the link below ujionee. kwenye hiyo habari utaona kiongozi wa Kijiji wa CUF anauliza swali la kuonesha CHADEMA wanashabikia ushoga. Link; CHADEMA yataka kauli ya JK kuhusu ushoga Sasa leo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kambi Rasmi ya Upinzani yapinga mradi wa bomba la gesi

    Msimamo wa Kambi Rasmi ni huu kuhusiana na ujenzi wa Bomba la Gesi, ninanukuu hotuba ya Kambi Rasmi. 3.4 BOMBA LA GESI TOKA MTWARA HADI DAR ES SALAAM Mheshimiwa Spika, Pamoja na ushauri wa kambi rasmi ya upinzani bungeni wakati wa kuwasilishwa kwa bajeti ya wizara 2012/2013 kuitaka Serikali...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Msemaji wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Wizara ya Nishati na Madini

    Nimeambatanisha Summary amabayo Mhe. Mnyika Aliwasilisha mbele ya Bunge, Na Hotuba yote yenye kurasa 95 ambayo imeingizwa kwenye kumbukubu rasmi za Bunge.
  13. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnampuuza Mbowe!

    We mwenyewe umejipuuza, ulikuwa na hoja ya ufisadi kwenye UWEKEZAJI majengo ya UVCCM, ukaongwa ukuu wa wilaya ukanyamaza-ukajipuuza, ukawa na hoja ya kujivua gamba ikakushinda-umejipuuza, wewe na Mwenyekiti wako mkasema uchaguzi wenu ndani ya chama ulikuwa wa rushwa Makamo Mwenyekiti wako...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Watch-out There Will Be A Failed Kidnapping/Assassination Plan at the Beginning of 2013!

    Mr Big Headed= to Panya Killer; A victor of attention diverting and news spinning strategy, I assure you Tanzanians, He will not go away with it. He will fall rapidly and will entirely fail. :target:
  15. M

    JamiiForums Tanzania 'Masalia' wa CHADEMA wako hoi kisiasa!!

    We Juliana Shonza hapo neno Zitto limetumika kama ishara ya ushirikina, hivyo CHADEMA ni ant-Ushirikina; kusoma hujui hata picha uwezi kuangalia.:target:
Back
Top Bottom