Recent content by Masalia Mpya

  1. Masalia Mpya

    JamiiForums Tanzania Mwigizaji Vin Diesel afunguliwa kesi ya Unyanyasaji wa Kingono dhidi ya Mfanyakazi wake

    Njema kabisa, nimefurahi kukuona best. Watu wengi wamepotea duniani, ukimwona ndugu yako lazima ufurahi… hebu njoo pakachani
  2. Masalia Mpya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikufukuzwa kazi Singida Fountain Gate, nilivunja mkataba kwa makubaliano

    Kila la heri bro…
  3. Masalia Mpya

    JamiiForums Tanzania Ni halali Mume kuleta watoto wa nje ya ndoa katika ndoa yake/familia yake?

    Nimekusoma mwanzo mpaka mwisho… Swali, je mtoto aliyezaliwa na mwanaume asiye na ndoa hii ikoje. Kuna kaka yangu anaishi kinyumba na mwanamke na ana watoto 3 hawajafunga ndoa kanisani, msikitini wala bomani na tayari amezaa na mwanamke mwingine mtoto 1. Hii imekaaje? Robert Heriel Mtibeli
  4. Masalia Mpya

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ibrahim Chenza ni nani haswa?

    https://www.instagram.com/dr_ibrachenza?igsh=YXNmbW5qeG5udnR2
  5. Masalia Mpya

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ibrahim Chenza ni nani haswa?

    https://www.instagram.com/dr_ibrachenza?igsh=YXNmbW5qeG5udnR
  6. Masalia Mpya

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ibrahim Chenza ni nani haswa?

    https://www.instagram.com/p/C7J-y2dt1N9/?igsh=NHUxNHl5N3V6MDR6
  7. Masalia Mpya

    JamiiForums Tanzania Ndoto hizi zimenichosha

    Kumbe, nilidhani ni mimi mwenyewe. Basi ngoja nitulize komwe!
  8. Masalia Mpya

    JamiiForums Tanzania Ndoto hizi zimenichosha

    Habari zenu kwa ujumla Nimekuwa nikiota ndoto zinazofanana fanana. Iko hivi mimi naishi Dodoma, ila ni mwenyeji wa Lindi. Nimezaliwa huko na kusoma huko mpaka secondary. Chuo nikatoka kwenda mikoa mimgine. Kuanzia hapo nikawa narudi Lindi kama mgeni. Miaka 5 nyuma tulihamisha makazi na kuhamia...
  9. Masalia Mpya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu hebu tumalize utata hapa, INDUCTION COOKER vs MULTICOOKER nani ni mkombozi wa mapishi kwa umeme

    Mkurya katika ubora wake… Bila kaugali maisha hayajaenda
  10. Masalia Mpya

    JamiiForums Tanzania Hii ndoto inamaanisha nini?

    Kuna ndoto huwa inajirudia kwangu iko hivi, niloachana na BF wangu miaka 5 iliyopita. Kwa kweli ndio niliyempenda kwa moyo woote. Ila ndotoni kila ninapomuota naota yuko pamoja na maisha yanaendelea wakati tulishaachana miaka mingi kila mtu ana maisha yake ns familia yake. Why nisimuote huyu...
  11. Masalia Mpya

    JamiiForums Tanzania Kuna ndoto tatu niliota zilinistaajabisha sana

    Upo my dear… za masiki tele. Nimefurahi kukuona
  12. Masalia Mpya

    JamiiForums Tanzania Hii ndoto inamaanisha nini?

    Mie nina mwezi naota niko kijijini tuuu, yaani naona maisha yanaendelea huko tu. Tuko na familia na majirani wa huko na ndugu. Yaani haipiti siku mbili lazima niotr ndoto niko huko!
  13. Masalia Mpya

    JamiiForums Tanzania Je, mimi nina tatizo gani, au figo zishakufa?

    Yaani kwa hayo maumivu na hizo dalili bado hujakwenda hospitali? Wacha wanawake tuambiwe ni waoga ila kuvumilia maumivu aisee hapana. NENDA HOSPITALI TENA KUBWA, YA RUFAA AU MKOA.
  14. Masalia Mpya

    JamiiForums Tanzania Huyu Jamaa hazeeki miaka Sasa yupo vile vile

    Afu kweli, tangu nianze kumuona kwenye Kaole ni Mzee siku zote. Mpaka leo mie natarajia kupata wajukuu bado yuko vile vile… 😂
Back
Top Bottom