Dkt. Ibrahim Chenza ni nani haswa?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,000
17,909
Kuna jamaa anaitwa Dkt. Ibrahim Chenza amekua akipost akidrive marange na mavogue ya gharama yenye Plate namba za majina yake.

Nimekutana na bandiko mahali kuhusu huyu mtu sijatilia manani sana ni mtu wa kupost magari ya kifahari sana sipendi kufatilia life ya mtu ila huyu mtu anajiita Dr nimeona nimjue ni nani haswa huyu
 
HAwana shida hao, kuna siku watapost hela la mbao,hapo ndio utajua hujachelewa
 
huyu jamaa ni mtu anaye post akiwa na magari ya kifahari unataka jua tena nini
 
Ni wale matapeli wa biashara ya upatu ni kiongozi nadhani wa kampuni moja hivi inaitwa BF SUMA ni watu ambao hutumia udhaifu kwa watu wenye kupenda utajiri wa haraka na kisha kuwatapeli
 
Eeeh
 
Kuna jamaa anaitwa Dkt. Ibrahim Chenza amekua akipost akidrive marange na mavogue ya gharama yenye Plate namba za majina yake.

Nimekutana na bandiko mahali kuhusu huyu mtu sijatilia manani sana ni mtu wa kupost magari ya kifahari sana sipendi kufatilia life ya mtu ila huyu mtu anajiita Dr nimeona nimjue ni nani haswa huyu
Wapi hukoo?!!
 
Back
Top Bottom